Ijumaa karim
Hiyo picha ya nyani umeiweka hapa ya nn? Umesikia apa ni forest?
Ijumaa karim
Jioni njema frnds
Mwenye interview aliifanya Leo Ali kiba e.FM n gadner anipe ripoti plz au mlikuwa hamjui alikuwa ana interview
Acha umaku
Hiyo picha ya nyani umeiweka hapa ya nn? Umesikia apa ni forest?
Sio umaku c useme alichosema me nilikuwa chuo au ujackiliza halafu una jiita shabiki wa kiba
Kumbe ni kamwanafunzi wew...ndo maana UN ofer zinakupa wenge...
Alisema ivi....yeye ndo mfalme tz na nje ya nchi afu ushindi kwake n lazma...sasa nyie ma maku na wangese mjiandae kurwafi na mashetani maana mnawashwa minduku sana sana wew chakubimbi
Nazani umeelewa
Aiseee umesoma history kweliHa haaaa that's my gal umenichekesha.
Me n mwanachuo c mwanafunzi vp video ya chekechua chekecha n collabo za wasanii wa nje
Nasikia ni wewe utakuwa unachekechewa magazine..... heheheeeee andaaa mnduku huo
Swali la chizi hili sina mda wa kujibu.Aiseee umesoma history kweli
Swali la chizi hili sina mda wa kujibu.
Inawezekana ww ndo chizi una mfanishaje diamond n kiba kiba ashidane n wakina rich makoko, baraka da prince, best naso sie tupo international
Acha umaku
Haaah c ujibu swali langu
Hahahahaha uwiiiiii! Jamani nimecheka hatariiiii...
Yaan mamie huyu mjinga anakera kweli...afu kumbe ni mwanaume sio mwanamke...
Mimi tokea jana sina hamu nao hawa.Halahala tu na ma baby zetu jamani!
Inawezekana ww ndo chizi una mfanishaje diamond n kiba kiba ashidane n wakina rich makoko, baraka da prince, best naso sie tupo international