Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,369
- 176,203
Mtani habari za masiku?
Afadhali hata nimekuona mtani wangu, si njema sn, hv hapo ulipoquote pana mahusiano gani na hizi salamu zako?
Mtani habari za masiku?
Hahaaaaaaa! Duuuh km nakuona vile
Mmmmh, Ruttashobolwa wewe ni mbea jamani?
Katika comments zote umeona hiyo tu hadi ukaiquote?
Bora umenisaidi mpenzi maana huyu mtani wangu mie hata simuelewagi, kidogoooo naanza kumuelewa
Afadhali hata nimekuona mtani wangu, si njema sn, hv hapo ulipoquote pana mahusiano gani na hizi salamu zako?
Acha tu Ruttashobolwa anatuona wajinga sana.
Mmmmh, Ruttashobolwa wewe ni mbea jamani?
Katika comments zote umeona hiyo tu hadi ukaiquote?
Teyyyynaaaaa! King kanimalizaje jamani? Hasa pale anavyoanza....
Jamaniiiiiiii mi nataka asaule..
Uwiiii!
Acha tu Ruttashobolwa anatuona wajinga sana.
Teh Teh mtani bhana nimepapenda tuu ...kama unaumwa na upone Inshallah.....
atoto ahsante sana kwa kunirudisha kwenye mood leo nilikorofuliwa nafsi yangu sehemu ila sasa shwaari kabisa.Ngoja niondoke zangu mie nikuache naona uko PM na baby this time.
Kwi kwi kwi.....
Mmmmh!! Taarabu itakuhusu soon mtani
Teh Teh lembebiz nifah kunani tena? Bila humzima sana...happy
Saula tu mie nimefumba macho mama
Me mzima Ruttashobolwa.Nasubiri mialiko ya pasaka mpaka sasa naona kimya tu.
Subiri Eid!
Thubutuuuuuu!