Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahahaaa uwiiii! Ndio maana nimekuita huoni nacheka sasa.Haya shemeji Viol na uje huku utakoma leo.

Muache hukohuko alipo ukute anaota tena, wanasema usimuamshe aliyelala utalala wewe
 
Last edited by a moderator:
Hope i cud say the same(lol) hongera mamito sie acha tuendelee kuota

Hahahaaa jamani atoto nacheka hapa kama mwehu ujue? Worry out darling,Mungu atakupa tu na wewe.
 
Last edited by a moderator:
Yaani mie ndio usiseme, niko busy lkn napawaza jf, nasubiri video ya cheketua tucheketue sie kwa raha zetu kwa shida zao

Jamaniiii!Mimi pia juzi kati hapo three weeks ago nilikua busy nakuambia hadi nikahisi kuchanganyikiwa.
Teyyyynaaaaa, na atoe bwana tuchekeche na sie.
 
Jamaniiii!Mimi pia juzi kati hapo three weeks ago nilikua busy nakuambia hadi nikahisi kuchanganyikiwa.
Teyyyynaaaaa, na atoe bwana tuchekeche na sie.

Mama this time ni mwendo wa mauno tuu, uanze na grees kabisaa
 
Hata asipomtaja wht counts ni kuwa alichepuka, huyu Viol ananitaftia sababu tu za kunimwaga mwenzangu, alafu unamtetea(utanieleza vzr)
atoto my dear u cant be serious!
Kuchepuka gani huko kunakokuumiza hivyo? Ndotoni?..lol
Be strong young lady...shukuru Mungu anachepuka ndotoni!
Hahahaaa
 
Last edited by a moderator:
atoto my dear u cant be serious!
Kuchepuka gani huko kunakokuumiza hivyo? Ndotoni?..lol
Be strong young lady...shukuru Mungu anachepuka ndotoni!
Hahahaaa

Kuchepuka kunaanzaga hvhv ujue next tym ni vitendo tu
 
Last edited by a moderator:
My Viol nimekumisssssss mpaka nahisi kuumwa
 
Last edited by a moderator:
Mama this time ni mwendo wa mauno tuu, uanze na grees kabisaa

Akuuuh,no need mama.Mauno yapo ya kumwaga tu, tokea chekecha ianze nafanya mazoezi ya ajabu!
Haipiti siku sijaurudia mara 3!
 
Umeona eeh? Kweli hapa nimeanza kukuelewa shoga kua mkali maana sidhani kama atajaribu.Umewakaje?

Hawa watu ukiwachekea bwana wanakupanda kichwani, kwelii kabisaaaa umuote mtu hivi hivi tuuuuu kweli hii chekecha cheketua
 
Back
Top Bottom