TGInnocent
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 1,088
- 583
Tokea juzi najionea maajabu huku JF.Midume mizima bila aibu inakaa inashangilia nyumba ya mwanaume mwenzao ambayo hawajui kaipataje.Ni mwendawazimu pekee atakayeamini kua nyumba zile zinatokana na mapato yake kimuziki.
Mwanaume unakaa kushangilia nyumba ya mwanaume mwenzio? Bora kusifia kidogo inaleta maana.
This is shame!
nifah mimi nadhani wanampa changamoto tu kwamba star kama yeye anatakiwa kutengeneza vitu vyenye viwango.