Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

dah matumbo yani amekerekwa mpaka anatia huruma
achana nao vishtobe walee

Sijakerwa wala haitatokea nikakerwa kwa jambo la heri kama msanii wa Tanzania kupata collabo na msanii 1st class duniani level ya chris brown...Nilichokuwa nasimamia ni ukweli tu, kwamba hakuna kolabo ya Kiba na Breeze. Huu ni uongo wa mchana ila kama inawapa faraja kuusikia huo uongo aina shida muendelee tu kupiga soga. Lakini ukweli nimeshausema, hakuna na haitatokea kwa sasa hivi sio rahisi kama mnavyodanganywa inabidi uwe na profile haswa kitu ambacho kibongobongo bado labda mwenye bongofleva yake kidogo.
 
matumbo hana tofauti na T.I.D kwa kujifanya kila kitu wanajua wao!

Mimi sijifanyi kila kitu najua ila nna tabia ya kusema ukweli unaouma sana...kuhusu TID haujakosea kuna kuna vitu tumefanana ila pia tumetofautiana nae sana tough alishawai kuwa my neighbourhood nigga.
 
hamna wimbo hapo.., nimesikia tu , dole dole dole gumba, mifasolatido., afu ananena kwa lugha sijui.

POLE ALI KIBA

Hahahahahaaa! Mkuu kama kitu hujui uliza tu bila kukejeli. Hicho ulichokisikia anakiimba King Kiba katika wife wa dunia sio kunena kwa lugha ila zinaitwa nota.
Kwa wwaliosomea muziki wanajua nota ni nini, ambazo ni zile alama fulani hivi. Sasa alichofanya King Kiba ni kutaja nota alizotumia kuimba wimbo wake.
Na kupitia ile ametuonesha kuwa yeye amesomea muziki, hajiimbii tu kwa kutegemea kipaji peke yake.
Isitoshe, wimbo wa Wife wa Dunia ni moja ya nyimbo za King Kiba zilizovuja kabla hajazikamilisha kabisa, hata hivyo ni wimbo mzuri sana.
Ova
 
Mdakuzi huwa unajitahidi kweli kuwaelewesha hawa watu ila vichwa kama vifuu hataaa hawaelewi, ni bora kuwapuuza tu, sio kosa lao.
 
Last edited by a moderator:
Mdakuzi huwa unajitahidi kweli kuwaelewesha hawa watu ila vichwa kama vifuu hataaa hawaelewi, ni bora kuwapuuza tu, sio kosa lao.

teh teh .,, king kiibaaaa!!
Usikie tena. Usijae mahaba mpaka unakua kiziwi.
Wimbo mwishoni jamaa kanena kwa lugha...

Mdakuzi jamaa kanena.
 
Last edited by a moderator:
Mdakuzi huwa unajitahidi kweli kuwaelewesha hawa watu ila vichwa kama vifuu hataaa hawaelewi, ni bora kuwapuuza tu, sio kosa lao.

Pole sana. Kaka yako kanena kwa lugha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom