Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahahahaaa huyo rafiki ni Ms.Lincoln....
Kama kusutwa nisutwe tu lakini ndio nimeshasema.

Sikuona hapa....! Athens ndo kasema? Akuuu hajawahi kuniomba urafiki wa kalamu wala wa penseli coz king Kiba woteeee rafiki zangu already maybe atoto huyoooo...
 
Last edited by a moderator:
nami naongeza kwa msisitizo shame on her! shame on her! shame on her! shame on her! shame on her! shame on her! shame on her! shame on her! shame on her! shame on her! shame on her!lakini atoto usisahau kutusaidia kumwendea huyu nifah na vigoma vya kumsuta.

Haaaa! Aibu naona mie...shame on her!
 
Last edited by a moderator:
na uione aibu kubwa kuwasingizia wenzio nifah umemuona huyu!!!
teh teh teh! afu ama kweli usiposhangaa ya mussa utashangaa ya firauni! wewe umesema shame on her, huyo rafiki angu wa kalamu nami nikaweka msisitizo kwa rangi nyekundu iliyo bold kwamba shame on her plus plus! matokeo yake anakuja Ms.Lincoln anaanza kuona aibu yeye, msikie:
Haaaa! Aibu naona mie...shame on her!
mimi na wewe shemeji yangu atoto tunasema shame on her huyo rafiki wa kalamu ambae wala cjamtaja. inakuaje tena huyu shost aibu anaona yeye????!!!!
 
Last edited by a moderator:
sawa shemej, nitaweka stamp kabisa pamoja na bahasha ya khaki!!!!!!!

safi sana urahisishe majibu, ila hata ikitumiwa kujibia mwenzio ujikaze tu ndio uanaume huo, humo weka mistari ya muke ya dunia nakwambia hachomoi
 
teh teh teh! afu ama kweli usiposhangaa ya mussa utashangaa ya firauni! wewe umesema shame on her, huyo rafiki angu wa kalamu nami nikaweka msisitizo kwa rangi nyekundu iliyo bold kwamba shame on her plus plus! matokeo yake anakuja Ms.Lincoln anaanza kuona aibu yeye, msikie:mimi na wewe shemeji yangu atoto tunasema shame on her huyo rafiki wa kalamu ambae wala cjamtaja. inakuaje tena huyu shost aibu anaona yeye????!!!!

#wifewadunia
 
Last edited by a moderator:
safi sana urahisishe majibu, ila hata ikitumiwa kujibia mwenzio ujikaze tu ndio uanaume huo, humo weka mistari ya muke ya dunia nakwambia hachomoi
Tobaaaaaaaaah! nishaghairi manake kuna uwezekano wa hapo kwenye nyekundu. nishaghairi, endeleeni wenyewe nami nishaghairi na mpango wenyewe wa kutaka urafiki wa kalamu
 
nimeipenda sana hii ngoma kuliko ilivyo kawaida. unajua kwa kuwa hizi siku mbili tatu nilikuwa tight sana wala sikufahamu kwamba kuna mzigo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! nishai-download kabisa na kuiweka kwenye playlist yangu ndani ya techno.

hapana chezea fundi hata kidogo
 
nimeipenda sana hii ngoma kuliko ilivyo kawaida. unajua kwa kuwa hizi siku mbili tatu nilikuwa tight sana wala sikufahamu kwamba kuna mzigo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! nishai-download kabisa na kuiweka kwenye playlist yangu ndani ya techno.

Etiii....niimbie bathiii....
 
Tobaaaaaaaaah! nishaghairi manake kuna uwezekano wa hapo kwenye nyekundu. nishaghairi, endeleeni wenyewe nami nishaghairi na mpango wenyewe wa kutaka urafiki wa kalamu

Alaa...una roho nyepesi kama ya karatasii...!
 
Mwenye link ya hiyo nyimbo mpya aiweke hapa kwangu bado sijausikia huo wimbo.
 
Back
Top Bottom