Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,569
Pole sana. Kaka yako kanena kwa lugha.
Teh Teh
Pole sana. Kaka yako kanena kwa lugha.
kumbeee! inaelekea hata wewe ulifichwa.Watu wamefichwa Valentine hii...
Watu wamefichwa Valentine hii...
na mwenyewe alifichwa sema 2 anajishahua hapa.we haujafichwa mamii?
Ms.Lincoln eti ulifichwa???na mwenyewe alifichwa sema 2 anajishahua hapa.
Ms.Lincoln eti ulifichwa???
na mwenyewe alifichwa sema 2 anajishahua hapa.
hongera kwa mihangaiko lakini ikizidi tuwe tunapasiana!mie hataaaa sijafichwa mwenzangu, mihangaiko tu.
sawa tu.Hapana sio kweli, gengeni kwangu leo kulikuwa kumebana.
huwa hawasemagiMs.Lincoln eti ulifichwa???
Watu wamefichwa Valentine hii...