michakato tu atoto na nitarudi wakati ukishafika kwa sasa mambo yapo maji ya shingo.kitu kinaitwa "wife wa dunia" hebu nawe urudi duniani!! umejifukia wapi???
basi za uso mtazipata wote. teh teh tehninavyokapenda sasa sijui nitaweza!!! hbu ngoja ngoja kwanza nijaribu zoezi, maana naweza jikuta nimejiunga nae
ahsante sana shemeji.kilalakheri baba pambana tu, Mungu awe upande wako
thubutu yako! hivi unavifahamu vigoma vya mwananyamala au unafanya kuvisikia tu? kwanza watu wanakuja kufanya tathimin hapo kwenu, wakijua nyumba yenu ipo kwenye kona basi zinakuja timu tatu zinafunga barabara na vigoma vyao ili usipate kwa kukimbilia!!!!!!!!!!!!!!!!!!Jipange mjomba maana unaweza kukimbia na kigoma chako hiko ukakiacha kabisa....ohoooo
thubutu yako! hivi unavifahamu vigoma vya mwananyamala au unafanya kuvisikia tu? kwanza watu wanakuja kufanya tathimin hapo kwenu, wakijua nyumba yenu ipo kwenye kona basi zinakuja timu tatu zinafunga barabara na vigoma vyao ili usipate kwa kukimbilia!!!!!!!!!!!!!!!!!!
sio kweli wala nini. in short ni kwamba ni umebugi ukifika wakati nitatoa ze tamkoz.
wenyewe si mnasemaga mwanamke kusutwa sunna, sasa mwaogpa nini??si ndio nikajistukia sasa naanzia wapi kwa mfano!!! Athen bwana nae kama samaki mdomo umejaa maji alafu anataka atusute bada akusanye nguvu ampate binti!!! tena kariri kabisaa mashairi ya #wifewadunia yatakufaa
habari ndo hiyo kwani kuna tatizo?duuuuh!!! yaani maandalizi yote hayo tumekaa tu tunawasubiri!!!
sio kweli wala nini. in short ni kwamba ni umebugi ukifika wakati nitatoa ze tamkoz.
mdomo haujaa maji sema mdomo wangu hauwezi kudanganya ua labda nina sound za kizamani manake huyo mtu nimemwambia kabisa kwamba nataka uwe rafiki yangu wa kalamu, eti wa kufa na kuzikana. au nimekosea hizo sound?si ndio nikajistukia sasa naanzia wapi kwa mfano!!! Athen bwana nae kama samaki mdomo umejaa maji alafu anataka atusute bada akusanye nguvu ampate binti!!! tena kariri kabisaa mashairi ya wife wa dunia yatakufaa
teh teh teh, haya bwana, ndo maana hata kutokea huku natokeaga kwa minyato kuangalia ikiwa box number yangu imeingia barua kutoka kwa rafiki angu wa kalamu. hata hivo ngoja nianze mazoezi upya.wewe badala ufanye maandalizi ya kumnasa wife wa dunia umekazana kutaka kutusuta, shaurio hizo nguvu zihamishie kuleeee la sivyo matamko utaishia kuyasikia kwa mdakuzi na viol tu!! teh
mdomo haujaa maji sema mdomo wangu hauwezi kudanganya ua labda nina sound za kizamani manake huyo mtu nimemwambia kabisa kwamba nataka uwe rafiki yangu wa kalamu, eti wa kufa na kuzikana. au nimekosea hizo sound?
teh teh teh, haya bwana, ndo maana hata kutokea huku natokeaga kwa minyato kuangalia ikiwa box number yangu imeingia barua kutoka kwa rafiki angu wa kalamu. hata hivo ngoja nianze mazoezi upya.