Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,410
- 176,321
Haaa! Kuna mahali nlishikika kiumbeya afu nabanwa sana, mama mambo naona mazuri nyumbani....yani kawimbo katamuuu
yaani we acha tu! na hapo bado bampa to bampa, mbona watapona vichaa mwaka huu.
Haaa! Kuna mahali nlishikika kiumbeya afu nabanwa sana, mama mambo naona mazuri nyumbani....yani kawimbo katamuuu
Poa bhana Avemaria I hope uko poa
hahahaaaa!! Avemaria bwana!! umenichekesha!
Hahahaaaaa mpe mpe vyake.Siku hizi naye anachamba watu jamani!
Kha.... Ms.Lincoln huyu?
Mhhhj shoga umeshanishinda hadi mimi umbea unaniponza jamani sijashika mstari hata mmoja!
Hawezi kuisahau family hii pendwa mumy.Yupo busy sana hadi namuonea huruma!Hope atakua hapa soon kutupa nondo za ukweli kama kawaida yake.
sijui nani kamfundisha!!!
hebu usinitie aibu bwana, jitaidi ushi japo kamstari
Teynaaaaa....mimi hapa natabasamu tu.Ni furaha iliyoje?
Naserebuka tu na kimasomaso hapa.
Muone vile!Bibi ana muandiko huu?Swaga za kidada kabisa hizi waongopee vipofu sio sisi..
Teh teh
Nikupe dedication?
Mi naumwaaaa!
Network iko low....nyimbo haiplayki jamani youtube! Lol
namuona anapita kimyakimya!! teh teh teh
kimaso masoo mwanangu.........
Ahsante sana.Nawaombeeni kheri.
Hahahahaaaa mbona katoa Le Tamkooz kidogo?