Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,412
- 176,327
Hahahahaaaa sio umbea huu sasa.Ni wa ma celebrities....
ooh!! hapo sawa
hebu mwachie mara moja hata aje atusalimie si unajua tena familia inammiss?
Hahahahaaaa sio umbea huu sasa.Ni wa ma celebrities....
Hahahahaaa.Nikuambie kitu?Mimi hua kila ninaposikia wimbo wa kimasomaso nakukumbuka sana.
Nakumbuka zile # tag zako na unavyoupenda......
Kila nilivyokua nataka kukuambia nasahau!
ooh!! hapo sawa
hebu mwachie mara moja hata aje atusalimie si unajua tena familia inammiss?
King katisha sana.Sijaamini macho yangu kabisa!
Umeona hizo project za King sasa?
Yap bidada
guuuud night lovely family, may you guys have a blessed night,(kwa wale ambao ni usiku), love youuuuu
Aahahaha kiukweli naupenda huo wimbo basi tu. Kuanzia kwenye flash, laptop hadi kwenye simu zangu sitokaa niufute! Kuna watu walikuwa hawaujui hadi nimewaambukiza!
Mimi naupenda saaana.Niliusikia zamani sana,nadhani ni mwezi wa 7 mwaka 2013 (mwaka mmoja kabla ya officially release).Basi nikaupenda sana....
Basi hadi leo haipiti siku sijausikiliza.Hasa pale
... tuzae watoto tujenge tuwe na family....uwiiii
Waache wayaseme wewe leo uko na mimi
Na tule hizi raha tusahau ya duniani!
Dah mistari flani hivi amazing
#KIMASOMASO lol
Hiyo record imekaa njema sana aiseeeh!!
Dah hizo project nimeziona.......na zitoke meeen tuzimie vizuri! Lol
Ewaaaa,ndio maana nakupendaga ujue?Hiyo mistari mitamu si masihara.
Umeona eeh?Can't wait kusikiliza hiyo ngoma aliyomshirikisha Wiz Kid.Dogo sasa hivi namuelewa sana.
alafu umetuliaaaa yaani hauna papara
yaani now naona kweli kaamka na hataki utani na kazi, keep it up kiba we are here to support you
Fine...
And you?
Aisee wimbo wa kimasomaso mzuri sana.Hua najenga picha ndio ningekua mimi nimeimbiwa vile....
Uwiiiiii ningefurahi sana!