Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sasa ndio nimepata jibu aisee.Mbona kitorondo sijakiona hapo?Au hakipo hata kwenye 20 bora nini?
Teh teh teh

Hahahaaa kama kunifurahisha tu, huwa unanifurahisha kwakweli.
Hujui kumumunya maneno ni mwendo wa letamkoz tuuu! Lol
 
O.M.G!Nimefurahi sana.Ahsante sana abou kwa kutupa info kama hizi.
Kumbe King anakimbiza huko Kenya hivi?

wakenya wanampenda sana kiba, hata utube comment nyingi nzuri zilikuwa ni za wakenya
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa kama kunifurahisha tu, huwa unanifurahisha kwakweli.
Hujui kumumunya maneno ni mwendo wa letamkoz tuuu! Lol

Hahahahaaa.Nikuambie kitu?Mimi hua kila ninaposikia wimbo wa kimasomaso nakukumbuka sana.
Nakumbuka zile # tag zako na unavyoupenda......
Kila nilivyokua nataka kukuambia nasahau!
 
Nitajie mtanzania wa kwanza kuwa nominated kwenye tuzo za BET kwanza......den nitakueleza maana yangu!

Unamaanisha BET ule mchezo wa kamali kwa mashabiki wampira? Jina lako linasadifu kabila moja la daresalam 😷😷😷😷
 
Unamaanisha BET ule mchezo wa kamali kwa mashabiki wampira? Jina lako linasadifu kabila moja la daresalam 😷😷😷😷

Nishajua uwezo wa akili yako.......polee sana mkuu km ndo akili yako haswaa iliyokufanya ukaandika apa!!!
 
Kweli aisee.Ujue Navio alivyofanya mahojiano na Misago kwenye FNL alimtaja King lakini akamuongeza ndomo baada ya kujishtukia....
Teh teh ....

uwezo wa kiba wanaujua vizuri sana, haswa kwa waelewa wa muziki
 
Back
Top Bottom