Alisema yeye sio mmbeya anayaweza mapenzi tuuu
Hawezi ubuyu huyooo anajipunguzia siku za kuishi...yeye mambo ua 'projekit' utamkuta kajaa teleee
Ngoja iyo project ianze
Alisema yeye sio mmbeya anayaweza mapenzi tuuu
Hawezi ubuyu huyooo anajipunguzia siku za kuishi...yeye mambo ua 'projekit' utamkuta kajaa teleee
Ngoja iyo project ianze
Uwiiiii,hii project ni hatari sana.Naona kama siamini hivi....
Ngoja nirudie tena kuisoma.
ninavyowapenda sauti soul sasa!! uwiii hayo mambo yaje tu kwakweli
Rudia kabla cjafuta
thats why i love him
ninavyowapenda sauti soul sasa!! uwiii hayo mambo yaje tu kwakweli
O.M.G!Nimefurahi sana.Ahsante sana abou kwa kutupa info kama hizi.
Kumbe King anakimbiza huko Kenya hivi?
Ushangai saut soul wanahitaji huduma ya king
Jiulize y
Sasa ndio nimepata jibu aisee.Mbona kitorondo sijakiona hapo?Au hakipo hata kwenye 20 bora nini?
Teh teh teh
Ule mziki wa kizaramo mwisho dar tena mbagara na tandale na co Nairobi wala Mombasa na maeneo mengine ya wakikuyu
Sura yako muzur mamaa
Acha kabisa,sura yako muzuri mamaaaaa....
I am a gentleman.....nzurije sasa?