Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,336
Na hili ndio ekalu la king
Dah,ni sheedah mazee!
Na hili ndio ekalu la king
Bwana ile mapenz maghorofa nimeickia daaah hatar mule ndani
Kiba fundi mzazi. ..subiri tuwaumize tena kwa jiwe jipya!hatuwapi nafasi ya kuhema mwaka huu ni jiwe juu ya jiwe!
Hahahaaaa,King akifanya collable basi ujue kashirikishwa.
Anasimama mwenyewe kiume.
Tena kwa upekee itabidi liwe ajabu la 8 la dunia.
Akamroge kinglaurence uganda huko amuache kiba wetu
kabisaaaaa yaani!!! maana Kiba alichawafanya watu sio kwakweli, sio tabia nzuri hata!!! Kibaaa Kibaaa Kibaa
Ni shida hilo hekalu jamani!
Hahahahaaaa hiyo ndiyo habari ya mujini.
Promota akitaka kuwapandisha jukwaa moja King na diamond lazima aandae pesa za ziada za domo za kugawa jukwaani!
we abou sema haki ya mungu!!!
is this for real? mbona kuna watu walikanaga kuwa king hana mjengo wa hivyo na wala hawezi kujenga mjengo wa hivyo!!!
Umeona eeh?alivyoona Kiba kashtukia ikabidi amwage buku 2,2.
Ukienda kule insta utakutana na video ambazo babu tale anapanga watu jinc ya kumzomea kiba
Mjengo upo kunduchi kaamia juzi
wasije tu wakachinja punda ikifikaa hiyo maana!!!
asipozizoa siangalii tena!! nawanunia sijui kwa muda gani!! teh teh teh
Mtu anayehonga watu kitu ili ashangiliwe Tu......ni checheee na so ajabu akatoa mpaka lile jicho watu walimung'unyue
Mtu anayehonga watu kitu ili ashangiliwe Tu......ni checheee na so ajabu akatoa mpaka lile jicho watu walimung'unyue