Labda walilemewa na wingi wa watu. Never mind
Watu wanafanya hivyo vitu ila kwa D sijui kwakweli but ndo hivyo kama tulivyoelezwa. Si umeona ameandika ni issue ya ukweli!duuuh!!! mi nikahisi huwa anasingiziwa ati!!!
kwani abou hakukuwa na option nyingine ya kununua tkt?
gnt dearest, nategemea kukuta update asbh, mie macho yashaanza kushirikiana
you cant be seious!!! hivi haya mambo yapo kweli kumbe!!!!
ni kiba tu anawapa watu taabu hv au kuna lingine???
wao si wanasema kiba hamna kitu hata tuzo ni ya redio1 tu!! sasa kwann wahangaike hivyo if he isnt a threat to them? mie huwa najiuliza hili swali sipati jibu, ila ukiangalia in all ways still bado wakimtaja ndomo lazima wamuhusishe Kiba, why???? wakati washasema hana lolote???
si watulie wafanye yao na kiba afanye yake kistaarabu tu, kwani sh ngapi labda!!!
Watu wanafanya hivyo vitu ila kwa D sijui kwakweli but ndo hivyo kama tulivyoelezwa. Si umeona ameandika ni issue ya ukweli!
Mode huo mchezo ganiiii!Jamani wasanii wengine wanaweza kuolewa kwa kuendekeza ushirikina!
Abou Saydou njoo utupe updates huku achana na vigagura wamekesha wanakunywa damu ya mbuzi nifah upo wapi?