Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani ebu weka tena caption ya king Lawrence!Mbuzi umechinja,umejinyeanyea pressure ya Kiba bado na buku mbili umegawa!unamgwaya Kiba mpaka unaumwa!

Hahahahaaaa uwiiiiii leo ni furaha ya hatariiiiii...
King atamuua mtoto wa tandale jamani!
 
huwa najiuliza sana swali km lako Ms.Lincoln hivi why wanamuhofia sn king?? tz kuna wasanii lukuki ila kiba tu ndio anawakaba koo!!! why why why why??? naanza kupata majibu, Kibaaaaa waue baba na bado, na tuzo yetu ya radio one walaaa hatuna shida ni shangwe tu kwa kwenda mbele, am happy kwakweli to be Kiba's fan no mata wht, kiroho saaaaaaaafi!
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi!We do it in dollars bora kupiga kimya!nna mashaka na zile pessa kam sio za matambiko
 
huwa najiuliza sana swali km lako Ms.Lincoln hivi why wanamuhofia sn king?? tz kuna wasanii lukuki ila kiba tu ndio anawakaba koo!!! why why why why??? naanza kupata majibu, Kibaaaaa waue baba na bado, na tuzo yetu ya radio one walaaa hatuna shida ni shangwe tu kwa kwenda mbele, am happy kwakweli to be Kiba's fan no mata wht, kiroho saaaaaaaafi!

Kwa raha zetu.Kuna tatizo gani?
Pop it in.....
Penda sana King mimi.
 
Last edited by a moderator:
Ndomo anamhofia sana Kiba,sijui kwanini?

kwani unadhani yeye mjinga kwamba haujui ule uwezo wa king???

ni mwendawazimu tu hawezi muhofia, yaani ninavyozisubiri hizo bampa to bampa mpaka naumwa, Kiba bwana mie penda wewe miaka mia.
 
yaani bora umefufuka nifah hapa nacheka km chizi peke yangu, wanamponda king huku anawanyima ucngizi!!! hahaaaaa!!! sielewiiiiiii!

Jamani atoto nitalia ujue?kumbe hunipendi unataka nife eeh?
Muulize abou kuna uzi tupo tunafanya yetu.Mimi ni nafanya pambe tu...
 
Last edited by a moderator:
kwani unadhani yeye mjinga kwamba haujui ule uwezo wa king???

ni mwendawazimu tu hawezi muhofia, yaani ninavyozisubiri hizo bampa to bampa mpaka naumwa, Kiba bwana mie penda wewe miaka mia.

Eti jamani!Ndomo anajua fika kua King sio saizi yake.Hadi ikabidi apunguze ile 'bilioni' kwenda kununua shangwe unafanya mchezo?
 
yaani dah haya mambo yanakoelekea sio maana daah mi naona watauwana hawa
 
Jamani atoto nitalia ujue?kumbe hunipendi unataka nife eeh?
Muulize abou kuna uzi tupo tunafanya yetu.Mimi ni nafanya pambe tu...

hapana mama, mie nilikuita weeee ukanichunia sasa cjui ni maproject yanakubana!! maana mmefichana hatari, Kiba na tuzo yake ya refio one ila anakaba watu mbele na nyuma, hahahaaaaa!!!

mweee dunia ina mambo hii, kiba anipe tu raha niongeze cku za kuishi niendelee kushuhudia haya mambo ya dunia!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom