Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,484
Usinambiiiiieee!!enhe ilikuwajeEe!!Masela wa friends rangers wamenikosha sana. .mpunga wameufinya. .goto wamepokea lakini mapenzi kwa kiba
Usinambiiiiieee!!enhe ilikuwajeEe!!Masela wa friends rangers wamenikosha sana. .mpunga wameufinya. .goto wamepokea lakini mapenzi kwa kiba
Kweli bwana,mwenye hela bwana,anaweza kutoa kafara hata kimimba chake chezea fame wewe!!
Masela wa friends rangers wamenikosha sana. .mpunga wameufinya. .goto wamepokea lakini mapenzi kwa kiba
Masela wa friends rangers wamenikosha sana. .mpunga wameufinya. .goto wamepokea lakini mapenzi kwa kiba
Abou Saydou njoo utupe updates huku achana na vigagura wamekesha wanakunywa damu ya mbuzi nifah upo wapi?
Wahuni wamemfanyia uhuni we acha tu
Nimewashauri kule jukwaani kwao wasirudie tena kukubali kupanda jukwaa moja na king kiba. .jana wamejifunza naamini!...
Sasa naanza kuamini Kuwa Dimond anamuhofia Ally kiba kwa jinsi alivyojiandaa na pressure ilivyokuwa....Tofauti na show zake nyingine anavyokuwaga kujiandaa.
Wallah kwa aibu na udhaifu ule aliounesha ndomo jana,angekua King ndio kafanya vile nisingeingia humu JF wiki nzima!Kwanini amwage pesa kama anajiamini?
Hivi anadhani pesa zinaweza kununua furaha?Masikini Chibu!
Kumbe Kiba anamtisha kiasi cha kumwaga madolari jukwaani?So sad....
King awez Fanya ujinga now yupo kunduchi kwenye hekalu lake muache amwage na aendelee kuishi Jikoni sinza
Hahahahaaaa bilionea aliyepanga uchochoro sinza!
Yeah yupo yupo tu na manegers wake walioishia la pili
Hahahaaaaaaa uwiiiiiiii
Leo umeniamulia wallah!
Ndomo anamhofia sana Kiba,sijui kwanini?
Jamani ebu weka tena caption ya king Lawrence!Mbuzi umechinja,umejinyeanyea pressure ya Kiba bado na buku mbili umegawa!unamgwaya Kiba mpaka unaumwa!