Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Haha haaaaa,uwiiiiiii atoto sikuwezi mpenzi!
Kumbe umeshapata hiyo kashda eeh?Na wataiga sana,walianza thread....sisi tukapiga kimya,tukaanza ma project yetu nayo wanaiga.
Haha haaaa,wenzao tuko serious sasa wao acha wajifurahishe.

alafu wanafanya kwa kujistukia!!! mara ooh cjui chitchat si walitunangaga wale eti pamekuwa chit chat hapa kumbe kinawaumaaa maana wanatamani wamejizuiaa mwisho wamejamba kwa nguvu mbele za watu

akhaaaa sie kwa raha zetu babu weee jukwaa letu twafanya yetu kwa raha zetu hatugombwi na mtu
 
Last edited by a moderator:
nimetoka u tube kusikiliza 'hela' duuh kiba bwana ni noma, kawimbo katamuuu alafu kuna katoto kanacheza vizuri hako
 
hahahaaaaaa!!!
ile mbegu nani haitaki kwa vitoto vizuri km vile!! usione watu wanaweweseka ni kuwa tu wanatamani na hawawezi kuipata

huu ushabiki mbona sasa watu wanakosa ustaarabu, yaani mpaka kutuita malaya!!!! like serious!!! kajuaje kama hatuufanyi wote!!!

Nakuambia hapa nilipo namuachia kwanza Avemaria aendelee na ile ligi.Nimekasirika sana kutuita malaya wenye identity halafu anakataa.
Kama vipi akishindwa (ila sitegemei) naingilia kati mwenyewe huo mziki.
 
Last edited by a moderator:
Nakuambia hapa nilipo namuachia kwanza Avemaria aendelee na ile ligi.Nimekasirika sana kutuita malaya wenye identity halafu anakataa.
Kama vipi akishindwa (ila sitegemei) naingilia kati mwenyewe huo mziki.

hahahaaaa!!! mie ngoja nichukue popcorn maana yule ni wa kuhurumia tu kwakweli
 
Last edited by a moderator:
alafu wanafanya kwa kujistukia!!! mara ooh cjui chitchat si walitunangaga wale eti pamekuwa chit chat hapa kumbe kinawaumaaa maana wanatamani wamejizuiaa mwisho wamejamba kwa nguvu mbele za watu

akhaaaa sie kwa raha zetu babu weee jukwaa letu twafanya yetu kwa raha zetu hatugombwi na mtu

Nakuambia tulisemwaje?ooh chit chat...huko pm habari zikaenea hadi member wengine humu wakafuatwa pm kuchambwa!
Yako wapi?au wameona hawana cha kujadili?halafu eti na wao wanajiita familia!Uwiiiiiii
Hii thread yetu ni ya Kiba fans tena TUJUMUIKE HAPA!
Watuache tujumuike tutakavyo...
 
tena mjumuiko fasaha kabisaaaa, rahaaa burudani tu
 
Haha haaaa,tena ngoja tu nitoke humu kwanza maana nilivyo sasa ban inaweza kunihusu.
Nikirejea nitakua tayari kwa hoja sio vioja.

hahahaaaa alafu anikome kuniita kwenye ushuzi wake mshamba yule, lini aliniona nikimshobokea huyo mjinga mwenzie!!! tena ashukuru ni my birth day leo ctaki ban, kuna comment niliiandika nikaishia kuifuta maana ban ingenihusu leo walah!!!
 
Wow!Happy birthday atoto
Wish you happy,healthy long life.
 
Attachments

  • 1421063554712.jpg
    1421063554712.jpg
    13.2 KB · Views: 38
Last edited by a moderator:
Ujalazimishwa kuwa kiba fans kama ujapenda huu uzi potezea silazima ucomment chochote kwa sababu umeshaona ni ujinga tafuta uzi unaokufaa kaweke maoni yako si lazama kucomment kila jambo jf nyie mnao tukana ndo mnao shindwa kutumia mitandao ya kijamii vzuri hamna mawazo chanya mnabaki kutukana kila post kwenu ni ujinga anzisha uzi wako usiokuwa na ujinga tuone utimamu wako ndugu.
 
Haha haaaa,tena ngoja tu nitoke humu kwanza maana nilivyo sasa ban inaweza kunihusu.
Nikirejea nitakua tayari kwa hoja sio vioja.

hahaaa!! usitoke mama si unajua mm na ww ndio walinzi wa zamu
 
Ujalazimishwa kuwa kiba fans kama ujapenda huu uzi potezea silazima ucomment chochote kwa sababu umeshaona ni ujinga tafuta uzi unaokufaa kaweke maoni yako si lazama kucomment kila jambo jf nyie mnao tukana ndo mnao shindwa kutumia mitandao ya kijamii vzuri hamna mawazo chanya mnabaki kutukana kila post kwenu ni ujinga anzisha uzi wako usiokuwa na ujinga tuone utimamu wako ndugu.

unatumia kinywaji gani Sangoma?
 
Haha haaaaa,uwiiiiiiii Sangoma umetisha sana aiseee...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom