Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,375
- 176,218
Hahahaaaa! Poleni jamani, nimekuwa na mwezi mgumu sana kikazi, mambo mengi na ni lazima yaishe mwezi huu, nifah anajua.
Lakini sipendi mnikose kabisa ndo maana najitahidi kuchungulia humu. Na nafurahi mnavyonikumbuka ndugu zangu.
Ova
oooohh!! kumbe ni kaziiii!! hapo sawa maana huyu nifah huyu hachelewi akawa anamsema Ms.Lincoln hapa kumbe nae kamfungia mtu!, pole sana na majukumu ndio utu uzima huo.
Last edited by a moderator: