Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,348
- 176,143
Majukumu atoto wangu weee bt now ntajitahid nisipotee sana
pole mama, afadhali, usipotee tena jamani tunakumiss mno
Majukumu atoto wangu weee bt now ntajitahid nisipotee sana
pole mama, afadhali, usipotee tena jamani tunakumiss mno
Ucjar mumy now ntajitajid kubalance tym nawamiss mnooooo
we mtoto ndio unaamka!!!
Haha haaaa,si unajua kimvua hiki cha leo kilivyo na usingizi mtamu?
na hivyo hiyo hali ya hewa ni nadra kwenu!!! basi ni full burudani huku unackiliza ya karim taratiiibu
Heeee!kumbe haupo huku na sisi eeh?
Leo ni burudani tupu.
Eyoooooooo mamaa ya # tag....
Teh teh teh ....
huko nishatoka rasmi, so hiyo karaha nimewaachia wenyewe
Jamani!Hongera mwaya sisi tumeshazoea hizi karaha hadi zimegeuka burudani kwetu....
mmmh!! hiyo hali kwakweli mimi ilinishinda kuizoea kabisaaa, nahisi kama nipo ndani ya tanuru ukija barabarani napo taabu!!! hapana nimeaachia wanaouweza now nipo kwenye kipupwe full burudani
Mhhhh unavyoringa na huko?Haya mama ngoja sie tuchomeke kwenye hili tanuru...lol
how are you dear Avemaria