Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

nilishacorrect mamii, c unajua tena kiherehere cha kutaka kuleta news fasta kabla cjasahau tena!! mwee ndio nikajikuta naharibu, teh teh teh

Haha haaaaa uwiiiiii atoto hufai wewe.
Na mimi nilivyoidakia kwa mbwembwe sasa?kumbe ni tango pori!
 
Last edited by a moderator:
Acha tu my dear...sisemi sana.

ukipenda ukapendwa jamani unaona dunia yote ni yako hata ukiwa na njaa unahisi kushiba tu, mapenzi matamu jamani(ila yasibadilike maana!!) eeeh Mungu awajaalie yaliyo kheri nifah na Mdakuzi iwe ni furaha tu na moyo wa kukabli kila misukosuko.
 
Last edited by a moderator:
ukipenda ukapendwa jamani unaona dunia yote ni yako hata ukiwa na njaa unahisi kushiba tu, mapenzi matamu jamani(ila yasibadilike maana!!) eeeh Mungu awajaalie yaliyo kheri nifah na Mdakuzi iwe ni furaha tu na moyo wa kukabli kila misukosuko.

Maneno yako aya?
 
Last edited by a moderator:
Ok then...Nina hamu sana ya ngoma mpya kutoka kwa King inisahaulishe kidogo Mwana maana nimekua kama chizi kila nifanyacho naimba Mwana....

yaani huu wimbo huwezi kuusahau, duuuh ngoma kali sana
 
Haha haaaaa uwiiiiii atoto hufai wewe.
Na mimi nilivyoidakia kwa mbwembwe sasa?kumbe ni tango pori!

hahaaaaa!!! yaani nilipoona kuwa ushaquote nikacheka kwa nguvuuu, alafu mwenyewe ulivyoitamka kwa mbwembwe sasa!!!
 
Last edited by a moderator:
Na iwe hivyo Inshaallah kheri atoto wangu!
Naogopa sana yasijenibadilikia maana sijui nitafanya nini!
Hata hivyo najiamini nipo ktk mikono salama ya Mdakuzi....everything will be all right!

waza yaliyo mema mpenzi na muombe sana Mungu awapiganie, love conquers all u know.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom