nami nilikuwa slow leaner hata sisomi alama za nyakati natania kumbe kitu kimetiki, "penzi ni kikohozi kulificha huliweziiiii"
atoto ameshasahihisha makosa yake ndioman nikashangaaPampa :what:
abou ni bampa to bampa, nahisi ni mwendo wa kuachia vitu vya ukweli tu
Bampa to bampa!!oyoooo!ivi jamani ladatho yupo wapi?miaka mingiii!
Kizaramo
Jamaa yupo Boura ngoma mpya lazima usahau kwako
Haha haaaa,wewe?Leo umeamua kunikumbushia enzi....
hahaaaa!!! mapenzi bwana!!!
Sio kweli bwana...naanzaje kusahau Le Tamkooz la baby wangu jamani?
Ingekua aibu kubwa sana kwangu..lol
Mnnhh mbona litakua balaa hilo?
Hadi mtu asahau kwake jamani?
oooh!! thats why sikuelewa
Wait and see
Wewe naye nitakuchapa na hiko kimdoli nitakiiba leo.
Worry out dear...hakiharibiki kitu,twende tuka correct fasta sasa....