Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,484
I know I know!!Kwa nini huna ubavu?Mwanamke kujiamini bwana...
Ni utani tu my dear...usichukulie serious kihivyo!
I know I know!!Kwa nini huna ubavu?Mwanamke kujiamini bwana...
Ni utani tu my dear...usichukulie serious kihivyo!
Huyo Matola babu mzima amekuwa mdogo kama kinda la ndege mpaka nimfungie mtungini!?ha ha ha!
Mapendo yakizidi watu uwa wadogo mithiri ya ccmizi 😎😎
Kiba a.k.a fundi, mipango ya kufanya colable za kimataifa, mtindo wa pampa to pampa ndio atautumia kutoa nyimbo zake, yaani hizi suprise nazisubirijeeee
Sijaona hii post!
Oyooooo,kitu cha Pampa to Pampa...
Mtaa wa pili wanaugulia huko..
tobaaaaaa!!! umetumia lugha gani hapo mbona cjaelewa????
Uwiiiiiii atoto umenikumbusha mbali sana jamani!
Kweli King katuunganisha leo hii nimekua na furaha than ever!
Awwwwww.....
Looo😱