Mhhh,itabidi unifundishe na mimi nisijeipata aibu kwa kudance mbele za watu kwa maconfidence yote kumbe naonekana hamnazo kwa wanaojua..lol
kwaherini wapendwa asije kanjbhai akanikuta nachata jf akanitimua kibarua. naogopa kuua bendi.
Ah,basi tu chinga hata sikumbuki ni kwa nini....
Kwa jona LA YESU NATANGAZQ PEPO TOKAAAA TOLAAA TOMATOLAAAA RAKASHABA SHUKIRIMANDANOLAHatimaye sasa mafuta na maji vinaanza kujitenga, pumba na mchele hadharani kweupeeeee.
Wanawake wa leo mna kazi kupigana vikumbo na makaka poa, maana mdada akipropose kwa Matola mkaka poa naye anahitaji dushelele hilohilo la Matola.
Mpwa Pdidy mtumishi wa Mungu mpakwa mafuta kwa mara ya kwanza nakuita kwenye thread hii ukemee mapepo yote ya ushoga kwa jina la mwana wa adam na wote tuseme Ameen, pepo toooka!
Can't wait....dah,raha sana kua na mtu kama wewe!
Uwiiiiii,kwa hiyo zile kwaito tunazodance hata maharusini ni za misibani?
Kwa jona LA YESU NATANGAZQ PEPO TOKAAAA TOLAAA TOMATOLAAAA RAKASHABA SHUKIRIMANDANOLA
Kanisa LA pdidy sad aka ahesabu matola tutalisimalisha kanisa kweliii haaaaahaaaaq mpwaukowapi naelekea calabashAmina kubwaaa!!sadaka tunampatia nani?
Hujanigundua mie leo akili ni kama imepigwa ganzi,nimechoka nisaidie kuwazua bwana!Hujamjua tu?uwiiiii Ms.Lincoln hufai mpenzi!
Hata hivyo siwezi kukuambia hapa nisijemponza kaka wa watu!Naogopa lawama sana.
Hujanigundua mie leo akili ni kama imepigwa ganzi,nimechoka nisaidie kuwazua bwana!
Kanisa LA pdidy sad aka ahesabu matola tutalisimalisha kanisa kweliii haaaaahaaaaq mpwaukowapi naelekea calabash
Mbavu zangu jamaniiii!!ha ha ha ha!!pepo ashindweee! Matola amepotelea wapi sijui...
Hahaaaa MPAA atatengeneza new escrow yakanosa mpwaaaJukumu la kukusanya sadaka ni la mpwa Heaven on Earth kama ilivyo desturi kwenye hudumu za kila jumapili.
mwambie huyo Ms. Lincoln, anataka nipotezwe tena jumla.Hujamjua tu?uwiiiii Ms.Lincoln hufai mpenzi!
Hata hivyo siwezi kukuambia hapa nisijemponza kaka wa watu!Naogopa lawama sana.
mwambie huyo Ms. Lincoln, anataka nipotezwe tena jumla.
then kashawahi kufanya ngoma nyingine yenye dizain za kinaigeria?