BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,348
- 1,466
nimefurahi mnoo, umenifanya nilale kwa furahaOhoooo,sasa ndio umejieleza ukaeleweka.
Basi wewe sio mshamba tena,umefurahi eeh?
Hahahahaaaa
nimefurahi mnoo, umenifanya nilale kwa furahaOhoooo,sasa ndio umejieleza ukaeleweka.
Basi wewe sio mshamba tena,umefurahi eeh?
Hahahahaaaa
Hongeraaa!Le project just begins tonight.
Thanks for ur compliments, utamjuwa tu kwa wakati muhafaka.
Hongeraaa!
Huu ni mwanzo wa mwaka vipi ada ushalipa?? Au ndio umemwachia mamake anayekuzidi kipato??
Matola nipe account number nikutumie milioni 1 umlipe mwanao ada ya shule.... wote humu ndani muwe MASHAHIDI

Nye siyo wanaume,mtakuwa Volkswagen magari yenye injini nyuma,wanaume waliokamilika hawawezi kuwa na tabia za kimombasa
Choko ni dingi yako mzazi papa wewe!
Dingi yangu hawezi kukaa meza moja na wewe. Hana muda wa kupoteza kukaa anachokonoa maisha ya watu kama nyie.
Life likimgonga anatulia tuliii kama ananyolewa na si kumalizia stress zake za maisha kwa wengine.
Tanzania king ni mzee majuto peke yake
My dear,achana nao!!Kabisa yani!It will never knock to their senses kuwa they manlyhood is questionable!Dingi yangu hawezi kukaa meza moja na wewe. Hana muda wa kupoteza kukaa anachokonoa maisha ya watu kama nyie.
Life likimgonga anatulia tuliii kama ananyolewa na si kumalizia stress zake za maisha kwa wengine.
Umeona eeh?Halafu ukiwakuta wanavyojidai eti adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie yao hawayaoni.
Kuhusu King ni mwendo wa pop it in...