Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,484
Weweeee!!Leo naona umegusa mtima wa mtu!!Wewe mkorofiiii,afu mbona umetugeneralize!Mshaanza mambo yenu ya uwani ?
Weweeee!!Leo naona umegusa mtima wa mtu!!Wewe mkorofiiii,afu mbona umetugeneralize!Mshaanza mambo yenu ya uwani ?
View attachment 216758
Eti na bado kuna watu wanasema Zari ni tajiri. Ona hapa anapiga mizinga kwa rafiki wa aliyekuwa mume wake Ivan Semwanga, anaitwa King. Anabembeleza kwa kuomba hela kwa siku mbili mfululizo halafu bado anaitwa eti mwanamke tajiri. Bila hata kujua ana biashara gani bado unamuita tajiri.
Ova
sakni huyu tapeli mbwia unga pale kinondoni namfahamu vema.. Anamdanganya mtu atatoa pesa ya kuandaa show wakati ada ya Mtoto wake inamshinda
Nilishakwambia kaa chonjo na hilo tapeli.. Tunaye humu tangia 2008 tunamjua vema..
Huyu kibaka wamemkosakosa kwenye msako wa panya road alikimbilia kujificha kwao biharamulo....Mwaka huu wakimkosa basi akachinje mbuzi, ata hivyo jamaa ni mental case kidizain.
Nyie wanaume nyie!Basi tu afu mtu mwenye mapungufu huwa mnasema ana akili ya kike yani dhaifu,in real sense nyie wanaume mna akili duni kuliko sisi!!Yamepita hayo...
View attachment 216758
Eti na bado kuna watu wanasema Zari ni tajiri. Ona hapa anapiga mizinga kwa rafiki wa aliyekuwa mume wake Ivan Semwanga, anaitwa King. Anabembeleza kwa kuomba hela kwa siku mbili mfululizo halafu bado anaitwa eti mwanamke tajiri. Bila hata kujua ana biashara gani bado unamuita tajiri.
Ova
Weweeee!!Leo naona umegusa mtima wa mtu!!Wewe mkorofiiii,afu mbona umetugeneralize!
Mzee wa mahisia...Yule mtu anazingua namuonaga sana sa Leo akaleta umuch know wake na mm nikamuch know vile vile
🚶🚶🚶🚶
Mshaanza mambo yenu ya uwani ?
Matola ni Big Celeb wanaume suruali wote mnapatwa na stress kwa ajili yangu!? Na bado.
I love this game bring it on na warembo wanazidi kufurika pm wakitaka kujuwa kwa nini wanaume suruali wako bize na mimi? Jibu lake ni Faaaaaame.
I thank u guys beause of ur big mouth warembo wenye TBS tunafrilit huko pm na wasapu mbululaz bakini na mawivu yenu tu 2015 tunaignore wapumbavu wote.
NkyaH naona unataka kufa na mimi leo?Amewahi kukutapeli wewe!!Ahsante umeshanihasa,afu unajuaje kama mimi mwenyewe sio tapeli?!Nakuhasa nawewe,kaa mbali na mimi nisije nikakutapeli ukaja kulialia humu!
Hahahahaha anaitwa matola wa JF... Kawakusanya wajinga hapa anawadanganyadanganya tu
Mzee wa mahisia...
Tapeli huyo alitaka kutumia jina la Kiba kuuza tishet apate hela za milungi.
Mshikaji maisha aya bado unaishi kama Yahaya! umri umekutupa shauri zako. Anza na mimi kwenye ignore list tafadhali.
Haya mambo ndio huwa yanashusha sana heshima ya JF. Sijui kwanini watu wanashindwa kuficha ujinga wao hapa. Watu wanajikusanya ili kumuandama mtu mmoja, hii inaleta picha kuwa ni kiasi gani anawashinda maarifa na uwezo. Wakiwa nje ya TZ ndio watajua ukubwa wa hili jukwaa, na wataweza liheshimu.
Wanakera sana kiukweli, wanatibua malengo ya jukwaa na JF yenyewe. Mod's watuondolee huu upuuzi ambao umeanza kupewa nafasi hapa.
Ova
Awajawahi kutoka hata nje ya maeneo waliyozaliwa umuhimu wa jf wataujulia wapi