Ali Kiba anaongoza shindano la African NAFCA

Ali Kiba anaongoza shindano la African NAFCA

team kiba tunafanya yetu hadi ss hv kiba anaongoza kwenye katalogy zote 3 tena kwa kura nying sna na ww usichelewe nenda kwenye link fanya ku vote kwa kiba
hakuna cha simba wala chui ni kiba +kiba + kiba * kiba
check hzo kura hapo hyo ni kataloy 1 tuuView attachment 363133
Shaban Macredit, hilo neno catalogy na category ni sawa?
 
Weka link japo umeandika kama umekaa kwenye boda boda yaan upo fasta
 
Mpigie kura alikiba kwny Tuzo za Africanoscar
Favorite song of the year
Favorite artist of the year
Favorite video/trailer

Link IPO hapo chini African NAFCA
 
Simbaa...
hakuna simba anaeishi mjin labla awe anafugwa hahahah
check kura hzp yaan zaid ya elf 2 kwa mia 6 hapa ni kiba +kiba +kiba
Screenshot_2016-07-05-11-15-50.png
 
Hawa jamaa naona wamekuwa kama Messi na Ronaldo, sijui nani ni nani sasa. Mnatuchanganya
 
Duuh..Kumbe wapopoo nao hawapeani support aisee..Big up kwa Watz..Hope kati ya Diamond au Kiba mmoja atapa award
 
Kama unadhani Kura pekee zinatosha.....nasubiri siku ya Tuzo, hizo sio tuzo za Kilimanjaro!
 
Back
Top Bottom