Of course asingejitutumua asingepata namba,hivyo ni haki na wajibu wake kujitutumuaKuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu
View attachment 3560519
😂😂🤣🙌🏾Wapare ni moja ya kabila la watu wachawi sana hapa duniani
Labda ni watani zao bwashee 😅😅 , wasambaa na wapare ni kama jamii moja tu😅Mimi ni Msambaa, na siyo Mpare! Na siungi mkono kumhukumu mtu kwa sababu ya kabila lake. Ni vizuri mkamshambulia Ally Kamwe binafsi! Badala ya kabila lake. Huko ni kukosa hoja za msingi za kushindana na mtu.
Juzi kati tulimpeleka mshikaji wetu kumzika huko upareni chome wale jamaa wana imani potofu sanaWapare ni moja ya kabila la watu wachawi sana hapa duniani