Alhamisi nitafunguka-Lwakatare

Alhamisi nitafunguka-Lwakatare

Status
Not open for further replies.
wanasisa watu wajaabu sana we utaona watakavyotulaghai hapo sijui hata tumuamini nani
 
Jidanganye kuropoka tena uone,kama hujui umetegwa hapo ulipo.Ushauri wangu kwako Lwakatare kaa tulia na familia yako acha kumtesa mkeo na watoto wako!

Uoga ndiyo dhambi mbaya kuliko zote ! Ushauri wako umekataliwa .
 
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
Endeleeni kuyapanga hayo majanga kwa sababu ya kujiokoa kwenye jahazi linalozama; lazima mtashindwa tu.
 
Radhia napenda nitofautiane na wote wanaokuponda na wewe pia kwa kaul yako, walipaswa wakueleweshe, unajua radhia ukiwa umewah fika jela utalia kuna watu wamefungwa bila hatia na kufanya ndugu kufa kwa presure, kuna wengine mahabusu wanakaa miaka 2-6 halafu wanagundulika kuwa hawana hatia, vip ungekuwa wewe, halafu una siri kubwa moyon? ungekaa kimya? ilhal ulichonacho moyon ni kwel? Radhia mpendwa think twice kuna ndugu zetu wanasota jela bila makosa, acha aseme ukwel ilihal kisheria ni sawa,LWAKATARE AMEKATA TAMAA DHIDI YA WOGA, AMEJITOA KUTETEA WANYONGE WANAOBAMBIKIZIWA KESI, kumbuka polis wa moro walivyombambikia kes raia,je angekuwa baba,kaka yako,n.k amefanyiwa hivyo akitoka selo asiseme namna alivyofanyiwa,utoe uchama kwa baadh ya post.hata mwigulu ana ham ya kujua nn kitasemwa ili wajipange.

Mwenzio kaishakula KUNGU eti wewe unamwambia ' Think Twice ' hatakuelewa !
 
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.

asili ya wanaharakati wa kweli duniani ni kupigania maslahi ya taifa hata kufa kwa ajili ya taifa na sio familia...eg mandela, steven biko, luther...
 
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
Asipolala mahabusu hatasikika, wee huoni kila kukicha anatajwa kila kona kwa sababu alikuwa lupango.

Hizi mbinu anazipenda sana kubwa jin..a wa arusha
 
ile video ya bukoba inamuonesha sana LWAKATARE akipanga njama za kumdhuru DENIS MSACKY, mbona amekimbilia kuhusisha kukamatwa kwake na Kibanda na siyo MSACKY? Anataka kukwepa nini hapa, hana jipya asitake kutuhadaa watanzaia wenye akili timamu, awafurahishe wapambe wake ila watanzania wapenda amani tutaendelea kumtambua kama Gaidi
Mwaga ukweli mlivyopanga
 
Asipolala mahabusu hatasikika, wee huoni kila kukicha anatajwa kila kona kwa sababu alikuwa lupango.

Hizi mbinu anazipenda sana kubwa jin..a wa arusha
Umekimbia matibabu ya ugonjwa wa akili; daktari wako anakusubiri akutibu bure usijidhuru zaidi
 
Ngoja atulie atuletee part 2 part 1 ipo fresh xana,ile director abadilishe asiwe Mwigulu nchemba au vp?p1 xana actor.
 
mkuu hicho chama kipo hai kwa sababu ya propaganga za Tanzania Daima, lazima waumgurume gazeti lao linapoguswa, nathamani amani itoweke halafu watu wapelekwe the hague tuone kama mkurugenzi wa freemedia atasalimika.

Povu la nini mkuu? Subirieni Alhamis mnyolewe nywele na Kamanda Lwax.
 
Dhuluma,uonevu,na unyanyaswaji upo sana katika nchi hii,ni afadhali sana kwa wale wanaopata nafasi za kusema kama Lwakatarwe,wapo wengi sana wanaodhulumiwa na kunyanyaswa na kuonewa lakini hawapati mahala pa kusemea wala mtu wa kuwasikiliza,watafuteni hao muwasikilize mtashangaa sana,au mtoeni Babu Seya leo gerezani afunguke muone itakuwaje.Nchi hii dhuluma na uonevu kwa watu wa tabaka la chini ndio vimeatawala.
 
Jela inamsubiri na kwa muda
huu ambao yupo nje kwa dhamana ningewashauri wananchi kuchukua tahadhari
ili wasing'olewe kucha na kumwagiwa tindikali.

Una mawazo na roho mbaya kama ID yako...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom