REMSA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,579
- 956
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
Mmechanganyikiwa enh!! tulieni mmetwanga pilipili wenyewe subirini muwashwe'
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
Kwa sababu mmevaa miwani ya mbao juhudi hizo hamuwezi kuziona sasa hivi ila sisi raia tumeshajua masisiem mlivyo na mnavyotufilisi,hizo ni hatua za mwanzo za kuukataa udhalimu kwenye sanduku la kura,hatua itakayofuata ni kukata vichwa vya mafisadi kwa manufaa ya taifa....time will tell....Slaa alihangaika weeee kuanika mafisadi lakini hakuna chochote cha maana alicho-achieve
Chadema kwa nini walimpigania lwakatare peke yake na rudovick wamemwacha asote rumande hapo inahitaji akiri ya kawaida sana kuthibitisha kuwa chadema ya lwakatare wamehusika na utekaji wa msack pasipo shaka hata kidogo.
Wewe unamfahamu vizuri msack,kwanza ni mtu mpole asiyejua kuropoka wala kukaa anaongea hovyo kama wanasiasa,halafu unataka aongee ataongea nini anachokijua katika hili tatizo kwani majambazi yakipanga kuja kuvamia kwako wewe utajua kuwa kunawatu wamepanga kuja kuvamia kwako?,ndivyo ilivyo kwa msaki yeye alikuwa anaandaliwa mpango wa kumteka na ni mpango wa siri halafu unataka aseme atasema nini sasa,mkuu vipi unawaza nini.Uliza kwanza Mwigulu alifadhili vifaa vya kurekodi kwa kina nani kama amekiri kuwa kazi ya chama saa ingine hazikamiliki kama zinavyopangwa.
Mlisema Zitto anawekewa sumu akasema si yeye wala hakuwa na kikao na wahusika Mwigulu nae Katubu kwa aliyofanya ww umekazana na Msack ilihali Mtekwaji yeye hazungumzi hata cku moja juu ya plan hyo.
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
Lwakatare si ulimboka.Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
mkuu kumbe chanzo cha habari tanzania daima kwa heri mkuu.
jamii ipi unayoizungumzia? Hii ambayo hata mimi nimo! Umechemka..kifup4 watu wameipuuzia movie yenu ndo maana ilikosa impact, hata wanaCcm wastaarabu walimuachia mwigulu mwenyewe na siasa zake chafu alipoona ametengwa ikabidi awatafute vidampa kadhaa ambao njaa yao imezidi utu wao kumsaidia lakini ukweli movie imebuma, subiri mziki utakavyowageukia!!Hata kama lwaka atatoa mpaka ya tumboni hakuna atakayeweza kumwelewa ile video ya kweli asitufanye watu wajinga yeye acha ajitape lakini jamii inajua ukweli wa mambo haya.
hapana, kwann atulie? Lazima dunia ijue ndipo haya mateso na manyanyaso yatakoma.
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
Kuropoka haitawezekana. Amesema ataonana na viongozi na wanasheria wake kwanza.Hiyo ina maana kwamba watamshauriKama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.