Lwakatare alikamatwa kwa kosa gani?
Mara chache jaribu kuficha upumbavu wako uje kama GT
wewe haujui chochote kuhusiana na sakata la LWAKATARE. Kesi ya ugaidi alishafutiwa sasa hivi ana kesi ya jinai ya kupanga njama za kutaka kuteka watu na kuwadhuru.
Haya matusi hayatakusaidia pengine ubaki nayo kwenu mtukanane na ndugu zako mpaka basi,lakini usituletee jukwaani humu.Lwakatare alikamatwa kwa kosa gani?
Mara chache jaribu kuficha upumbavu wako uje kama GT
Lwakatare anataka ajizalilishe tu hivi nani atakaye mdanya kwamba hajahusika kupanga kumdhuru msaki?.
hujitambui wewe,Mwigulu kapata Aibu sasa anaomba msamaha
Utekaji na kuwadhuru kumbe ina dhamana
Jela inamsubiri na kwa muda huu ambao yupo nje kwa dhamana ningewashauri wananchi kuchukua tahadhari ili wasing'olewe kucha na kumwagiwa tindikali.
Lwakatare alikamatwa kwa kosa gani?
Mara chache jaribu kuficha upumbavu wako uje kama GT
waingereza ndiyo kina nani?
Slaa alihangaika weeee kuanika mafisadi lakini hakuna chochote cha maana alicho-achieve
kiingereza kibovuuuuuuuu kama nini sijui
Mkuu siyo akitamba bali akieleza ukweli wa jinsi cdm wanavyohusika na huu utekaji na mauaji.Weka link ya mwigulu akitamba Arusha
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kumbe siku hizi unaweza kufanya makosa halafu ukaenda kujikosha kwa wanahabari lwakatare kapanga kuteka na kudhuru kwa sumu leo anataka afunguke nini au ataelezea alivyokuwa anapanga kumdhuru msack denis.