Alhamisi nitafunguka-Lwakatare

Alhamisi nitafunguka-Lwakatare

Status
Not open for further replies.
Si vibaya akiungama dhambi zake kwa mungu atamsamehe.
 
aisee inabidi leo apewe ulinzi tosha, na vinasa sauti vitakavyotumoka kesho vikagukiwe kwanza manake hii nji hii mahala ilipofikia hakuana tena kuaminiana, ccm ya kikwete ishakuwa majanga kwa taifa. Aluta continua Rwakatare
 
Wewe hauana akili, kuna sehemu nimetaja ugaidi hapo? Kwani wote waliofungwa wamefungwa kwa kosa la ugaidi? Ndo mnajifariji hivyo siyo? Ana kesi ya kujibu ndiyo maana hajaachiwa huru bali kawekewa dhamana tu mkuu.

Acha uongo, nani kasema ana kesi ya kujibu? Hilo ni hadi ushahidi wa upande wa mashitaka utolewe ndipo court inaweza ona kuwa ana kesi ya kujibu ama la. Na ndiyo maana kuna mashitaka yamefutwa hata kabla ya mashahidi kuitwa.
 
Wa kwako amenusurika na galacha wa wake za watu a.k.a babu?

bahati nzuri au mbaya mimi ni toashi!wewe msifu Mwigulu maana mama akienda anarudi na mshiko na mboga bila hivo wafa njaa wewe! hivi wewe na akili zako(kama bado unazo) unaishabikia CCM??
 
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.

Atakuwa ameongea nini ili ionekane ameropoka? Naomba unieleze tofauti ya kueleza jambo na kuropoka.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
bahati nzuri au mbaya mimi ni toashi!wewe msifu Mwigulu maana mama akienda anarudi na mshiko na mboga bila hivo wafa njaa wewe! hivi wewe na akili zako(kama bado unazo) unaishabikia CCM??
Toashi unatoa nini?
 
Lwakatare anataka ajizalilishe tu hivi nani atakaye mdanya kwamba hajahusika kupanga kumdhuru msaki?.

Hata issue ya ugaidi mlisema hivyo, yalipofutwa mmebakia oh ana kesi ya kutaka kumdhuru msaki, mwenzenu mwigulu pwaa, kashaanza kutafuta suluhu kwa Mungu!
 
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
Kukaa kimya itakuwa ni kosa kubwa sana ni matarajio yangu tutasikia ihalisia wa kama ile video yaliyopo ni yale tuliyoyasikia au vinginevyo. Ninachokitafakari hapa mwigulu ataificha wapi sura yake pale kila kitu kitakapowekwa hadharani.
 
Hakushinda kesi, bali katoka kwa dhamana, kama sheria inavyoweka, kitu cha kujiuliza ni ilikuwaje huyu Bw aliweza kurecodiwa, na yeye is head of security. Ni mzembe wa aina gani, and in his own house hicho halisameheki. Chadema should take him to task, kwani yeye ndie anayepaswa kuhakikisha anachunga siri za chama hazitoki, na pia anasimamia upelelezi wa vyama vingine katika mambo yao ya siasa, ili kuweza kukipa chama chake kuwa na advantage ya kujua nini kinaendelea kwa wapinzani wao. Leo unarekodiwa nyumbani kwako ukuzungumzia mambo ya kutekeleza ujangili. How stupid, Na bado mnataka kusema he is innocent, Watanzania sio wapumbavu wa hivyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom