Alex massawe anatafutwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alex massawe anatafutwa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by LENGIO, Sep 11, 2012.

 1. LENGIO

  LENGIO JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 1,032
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Anayejua gazeti la tarehe 10 liloandika habari ya alex massawe kutafutwa kwa mauji atujuze wa hapa Jf
   
 2. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mkuu kama ni kweli ni habari njema maana Papa Msofe ni lazima katika ungamo atamke yote!!! Washikaji mwisho wa ubaya ni aibu.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Sasa usiku wote huu umeskia juu juu gazeti la kesho? Ama umeskia gazeti la Kibonde? Manake unatuuliza tena gazeti gani!
   
 4. A

  August JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  hivi wevi wa cba, hawajaonekana kwenye cctv? mpaka sasa?
   
 5. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mi mwenyewe nakumbuka kulishika hilo gazeti.
   
 6. saimon111

  saimon111 JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,712
  Likes Received: 1,027
  Trophy Points: 280
  waje wamuangalie kuna nyumba zake mbili zipo huku mbezi beach- dar es salaam eneo linaitwa kwa zena......huwa kuna range rover black inaingiaga night kali lakin mchana panakua hakuna business yeyote around except usiku tu, so mnaomtafuta mje kujaribu kutega na hapa
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  alex masawe bado hajastaafu tu?
   
 8. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ni kama kula nyama ya mtu utaendelea tu kuila, huwezi kuacha.

  J K Nyerere.

   
 9. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,744
  Trophy Points: 280
  si nilisikia huyu mkibosho yuko safrica?
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ndio nani huyo?
   
 11. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,157
  Trophy Points: 280
  a.m. 1984
   
 12. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  the DON!!
   
 13. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Huyu Mkibosho ni Rafiki yake Papaa Msofe mutoto ya Mbuzi,
  Alex Massawe alimkopesha km 30m kwa riba ya 9m mfanyabiashara wa madini ya tanzanite kwa kuweka rehani nyumba naye akamuuzia Papaa Msofe, wakati mkopaji kamaliza deni, alipoenda kuidai Mahakamani siku ya hukumu alfajiri kabla ya kusomwa huyo tajiri akafa.
  fuatilia humuhumu utakuta na cheni ya watu (marehemu) wa Madini wa Mahenge ni vituko tupu
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-sheria-the-law-forum/306504-papaa-msofe-akabiliwa-na-kesi-ya-mauaji.html


  [
   
 14. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Alex Massawe ni rafiki ya Papaa Msofe na wote ni wahalifu waandamizi hapa Bongo.
   
 15. GP

  GP JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mkuu umenichekesha, hawa jamaa ni SENIOR EXPERT CRIMINALS
   
 16. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Majambazi kama hayo yakishajuana na mapolisi waandamizi unategemea nini? na wao wanakuwa waandamizi pia.Sijajua safari hii wamekosea nini mpaka wamebanwa hivi?au imewakalia vibaya polisi waandamizi!!!
   
 17. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Kweli ni kama kula nyama ya mtu......hutaiacha kamwe!!
   
 18. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,789
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  Sio huko tu huyu jamaa ana 'Machimbo' mengi mojawapo lipo Kisarawe sehemu inayoitwa MPUYANI kiwanda cha Cement ana bonge la Lodge.....Nadhani ANAWATEGA....Na ATAWAKAMATA.....



   
 19. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  mbona wako matajiri sana nn shida mpaka ivo wangeacha tu hizo mambo
   
 20. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #20
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 649
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  mshukuru Mungu. Usitake kabisa kumfahamu huyu
   
Loading...