Papaa Msofe akabiliwa na kesi ya mauaji... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Papaa Msofe akabiliwa na kesi ya mauaji...

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Pasco_jr_ngumi, Aug 12, 2012.

 1. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Businessman charged with murder Saturday, 11 August 2012 11:25 By Rosina John

  The Citizen Correspondent

  Dar es Salaam.


  A prominent Dar es Salaam businessman, Abubakar Marijanii, alias Papaa Msofe, was yesterday charged with the murder of fellow businessman Onesphory Kituly November last year. Mr Marijani, 50, is alleged to have murdered Kituly, 54, with whom he had been at loggerheads over a parcel of land in a dispute dating back to 2007. The businessman was brought to court around 9.30am under tight security and spent two hours at the Kisutu Resident Magistrate’s Court remand cell before formal charges were read against him.Mr Marijani, who maintained a calm face throughout the court proceedings, was not allowed to enter a plea until the case is transferred to the High Court.

  State Attorney Tumaini Kweka told resident magistrate Agnes Mchome that Mr Marijani murdered Mr Kituly at his Magomeni Mapipa home on November 6, last year, in Kinondoni District.Mr Marijani was taken into custody nearly two weeks ago in connection with Kituly’s murder that shocked and left neighbours in fear.

  Before the brutal murder, Mr Kituly had sued Mr Marijani and two others for allegedly defrauding him of a Sh600-million house at Mikocheni medium density area.Mr Kituly had told the court that Marijani and other defendants in the property suit had fabricated a sales deed that showed he had sold the Mikocheni house to one of them. Donning blue jeans and checkered shirt, the accused was asked not to enter any plea because the court did not have jurisdiction to try murder cases but conduct preliminary inquiries.

  He will remain in custody until the case comes to an end as the offence he was being charged with does not qualify for bail. The case will come for another mention on August 23, this year. The land dispute between the accused and the deceased dates back to 2003 when Mr Kituly was advanced with a Sh30million loan by one of Msoffe’s friends. The loan was to be returned in six months.

  As a security for a loan, Kituly mortgaged his Mikocheni house and repaid the loan but the defendant neglected to return the title deed. Facts of the case had it that one of the accused in the case fraudulently sold the house to Mr Marijani through the use of a forged sale agreement and title deed. After Mr Marijani acquired the house from his friend, he sued Mr Kituly in the High Court for, among other things, seeking an order that Mr Kituly vacate the premises and pay for general damages. But in an interesting turn of events, Mr Marijani instructed a court broker to evict Mr Kituly from his home.

  A week before his death, the High Court had set a date to start hearing the case in which Mr Kituly had sued Mr Marijani and two others for unlawfully acquiring and evicting him from his house. He had asked the court to order the return of the certificate of title and all other properties worth over
  Sh500million.

  On the fateful day, around 7pm, a lone gunman shot the 54-year-old Kituly more than five times in the chest, stomach and chin outside his home in Magomeni Mapipa, Dar es Salaam. Family members then told The Citizen on Saturday he was gunned down in cold blood in front of his daughter, as he prepared to drive into his compound. He later died from his wounds at Muhimbili National Hospital (MNH). The Citizen on Saturday has since learnt that Msofe is the current occupant of the contested house.
   
 2. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hivi huyu jamaa hana connection nq watu wa Serikalini???!!!!
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Huyu ndiye mchangiaji mkubwa wa ccm
   
 4. s

  sony wega JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu amejibu maombi kwani huyu jamaa alijiona ni mungu mtu mitaa ya sinza ,kinondoni huku akikingiwa kifua na kamanda kenyela
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  let him die slowly ndio mwisho wake sijui twanga na mapacha watatu nani atalipa hela wanabendi hao..
   
 6. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa ni mhalifu wa siku nyingi sana tangu enzi za Salamander.Aliwahi kutangazwa na Mahakama kuwa ni mtu hatari katika jamii pamoja na rafiki yake Alex Massawe wakawa katika uangalizi.
   
 7. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Msofe atatoka tuu

  jamaa namfaham toka enzi za salamander pale opposite na ngazi 5 na swahiba wake alikuwa muuza juice pale anaitwa Lugano

  Msofe ana hirizi mkononi inapumua

  mengie watoto wa mjini watakuja kuzimwaga lakini catalogue yake iko quite impressive

  mnajua msofe almanusra asababishe serikali ya Ujerumani kuikatia misaada Tanzania?

  Mnajua kuwa msofe hakanyagi ulaya na hata dubai kwake kuna kipindi ilikuwa kama kituo cha polisi?


  I hope Mods hawatoihamisha kuna utamu mwingi sana na nashangaa ilikuwaje hajawa legit
   
 8. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kwa kweli huyu jamaa simjuwi zaidi ya kumsikiliza kwa nyimbo za dansi....

  Ana elimu gani jamani?? Na anamiliki biashara gani halali??
   
 9. h

  hans79 JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Msofe ni mojawapo ya junguluke au mpigaji,huyu ndo mojawapo ya matapeli wakubwa hapa tz.Hao walikuwa wanaibia wazungu buashara hewa za madini,alikuwa anatapeli hadi million 900 kwa mkupuo mmoja.Mzigo unauona bandari nawe unaamini biashara hiyo kuwa ni salama kumbe kanyabonya tu,na ukishapigwa kanyaboya ukiwafuatilia passport itagongwa muhuri wa mtu huyu hatari kwa tz no entry.Mtandao wao ni kubwa unahusisha pia na baadhi ya wafanyakazi wa serikali.
   
 10. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  sheria ifuate mkondo wake.lakini huyu jamaa sio yeye tu bali hata serikali kuna watu walikuwa wanafanya naye uharifu
   
 11. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Mh, mh, mh.. Mbombo ngafu.. Msofe huyu tunayemjua???
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  "Mr
  Marijani acquired the house from his
  friend". Huyo rafiki yake Ni Jambazi Alex Masawe na ashakimbia hajulikani alipo!
   
 13. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tena alikuwa na tabia ya kuwatukana askari wadogo vibaya sana na hata kufikia hatua ya kuwaita mbwa! wacha Dunia imfundishe!
   
 14. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  mtandao wao unahusisha hasa kituo cha polisi cha oysterbay police. hasa hasa PAPA MSOFE , MUZAMILI KATUNZI ,NDAMA NA WENGINEO .tokea enzi ya akina afande ZOMBE , BAGENI na hata alipoingia afande KALINGA kabla hajahamishiwa makao makuu ya polisi. na sasa wapo na afande KENYELA wamemshika masikio . hana uchawi wowote ni hela tu na njaa za hao mapolisi na watu wa uhamiaji pia anawashirikisha akishatapeli raia wa kigeni kinachofuata ni kumfukuza mgeni kwa kutumia maofisa wa immigration wenye njaa. (kifupi ni kuwa hawa jamaa pamoja na utapeli wao lakini wana hela nyingi sana na majumba ya fahari mbezi beach na mikocheni . yaani ni matajiri wa kutupwa wanaishi maisha ya juu sana hata mawaziri wetu hayapati )
   
 15. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu kweli tupu Hilo Jamaa ni tapeli maarufu na mchangiaji mkubwa wa CCM.apart from kuzulumu viwanja na property za watu Wametapeli sana wazungu Gold na Copper cathode feki na wanamtandao mkubwa sana serikalini hususani polisi anzia IGP mpaka polisi wa kawaida kila wakipiga dili lazima wapelekewe mgao.utashangaa ukipeleka mashtaka polisi yaan ukiwa kaunta anajulishwa kuwa kuna mtu amekuja kukufungulia kesi,polisi wanakugeuzia kibao siyo osterbay wala central wote ni wachafu.halishamlizaga mzungu fulani alikuwa na uhusiano na mama mkapa dola laki saba.Kundi la kina Msofe,wapo kina Mzamil,Mtui,asanoh,kuna wacongo man na vijana wa kichaga wengi tu wakisaidiwa na Bernard Msekwa(meneja wa chaz baba) kuwa certificate feki,na mhaya mmoja anaitwa rutashobirwa lawyer feki anaofisi pale Azikiwe building hizi ndiyo dili zinazowaweka mjini.
   
 16. Bwana Mapesa

  Bwana Mapesa JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,925
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 280
  Rutashoborwa sasa anakula moto..MUNGU AMLAZE MAHALA PANAPO STAHIKI MATENDO YAKE AMEN
   
 17. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  bila kumsahau DAVID KABUNGA alikuwa anamiliki kwa muda ile bar ya CHAGA BITE.
   
 18. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Duh endeleeni kutumwagia na sie dotcom tupate kumjua hii mutu...nasiki kwenye shoo za bendi jamaa alikuwa kumwaga mipesakwake ni kawaida. Tumwagieni wadau.
   
 19. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Amen..lakini ofisi yake inaendelea kutumika kudhibitisha utapeli wa madini kwa wazungu.Inshort Serikali haiwezi kujivua hili coz hawa watu wanafahamika ila hawawachukuliwia hatua coz wanafaidika na utapeli huo.Siyo mahammer na mavogue yote unayoyaona mjini yapo kialali.Msofe ni mmoja tu kuna manyoka wengi tu wamezaliwa na wanaendeleza ya Masters wao.Kuna mpaka mama wa Ki israel ambaye inasemekana anauhusiano na Bwanamkubwa anapiga hizi dili
   
 20. Bwana Mapesa

  Bwana Mapesa JF-Expert Member

  #20
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,925
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 280
  watu wanaomwaga pesa ovyo ni tatizo kwenye nchi yoyote...hebu muangalie sabodo hawez kufany ki2 kama hyo coz hana pesa chafu
   
Loading...