Alex massawe anatafutwa

Huyo jamaa ni noma,namfahamu tokea tukiwa watoto wadogo maeneo ya pale Friend's Corner Hotel(Nasikia kuwa ile hotel ni yake) kati kati ya Argentina na Magomeni Kagera mikoroshini. Suala la kumchapa mtu bastola ya mguu au kumpasulia mtu chupa kichwanii kwake ni jambo la kawaida na kitu cha kushangaza ukienda polisi hakamatwi. Kashawatia watu wengi sana ukilema, sasa hivi yeye umri umeenda hafanyi matukio kwa mkono wake bali ana vijana wake wa kazi ambao wanafanya matukio. Kweli siku za mwizi ni 40, sasa kibao kimemgeukia.
 
Nasikia maeneo ya sinza alikuwa ana rafiki yake kipenzi marehemu mzee Mkobo baba yao wakina van damme wa sinza ndie alikuwa mwalimu wake
 
Taarifa za ki-intelejensia zinasema jamaa yupo South Africa pia accounts zake zote wamezi-freeze!!!
 
kama utajiri aliupata kwanjia hii hawezi kuacha,maana kilasiku anakutana na big deals zaidi ya jana
 
Hii Kesi yao ndogo sana kwa hayA Watu wawili....

Nna Kisa Kimoja cha Bwana Musoffe,

Mnakumbuka Miaka ya Nyuma like 2yrs ivi kipindi kile cha Albino Killings..na Bwana Msoffe alishawah ku-kick kwa news kwamba AlikAmatwa na zeruzeru nyumbani kwake..
Sasa baada ya Njaa kuzidi vijana wakAamua kumtikisa Boss,..wakatafuta Zeruzeru wakamlipa wakamwelekeza cha Kusema na Chakufanya..

WAkamfunga Kamba,Plasta Wakamrusha ndani ya Fensi ya Msoffe..Zeru zeru akajificha ..Baadae WAkaja Police na Search Warranty kabisaaaa...tafuta nyumba nzima wakamuibua Zeru...toa Plasta Zeru analia Anasema walikuwa wawili mwezake kachukuliwa kabaki yeye...

Huku na Huku Msoffe hatAk kutoa hela ya Maana anapiga watu wake wa serikali wanaombeba ..kila mtu akawa Anaogopa kuitia makono..

Ikabidi akubali kulipa zaidi ya Million Hamsini kumaliza ishu..watu wakavuta Hela yao Zeruzeru kalipwa chake ..Kwisha

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Huyo jamaa ni noma,namfahamu tokea tukiwa watoto wadogo maeneo ya pale Friend's Corner Hotel(Nasikia kuwa ile hotel ni yake) kati kati ya Argentina na Magomeni Kagera mikoroshini. Suala la kumchapa mtu bastola ya mguu au kumpasulia mtu chupa kichwanii kwake ni jambo la kawaida na kitu cha kushangaza ukienda polisi hakamatwi. Kashawatia watu wengi sana ukilema, sasa hivi yeye umri umeenda hafanyi matukio kwa mkono wake bali ana vijana wake wa kazi ambao wanafanya matukio. Kweli siku za mwizi ni 40, sasa kibao kimemgeukia.

Friends Corner hotel ni ya kaka yake. Hawaelewani sana maana Alex uchawi wake unamzidi wa kaka!!! Lihirizi lake linapumua!!! Ha ha ha!!! Kwisha kazi!!! Alikanywa kipindi kile cha saka saka la majambazi wakati mahita alipoachia ngazi maana aliwalea. WAkati ule wa wizi wa mabenki na kuvamia mabaa kma mnakumbuka yeye ni mmoja wa wafadhili wa ujambazi na wakikanywa na kupewa court order wasijiingize katika uhalifu tena as were put on surveilance!! Jamaa naona uroho wa kula damu za watu ukazidi!!! Sasa anaipata fresh!!
 
Duuh kweli nchi hii wahalifu wanalelewa.. Details zote hizi walishindwa kumkamata
 
Back
Top Bottom