Albert Msando, Mwanasheria wa Zitto, Kitila na Mwigamba Kuunguruma kesho Serena 4.30 asbh

M

mwenegoha

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Messages
205
Likes
2
Points
0
Age
31
M

mwenegoha

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2013
205 2 0
Wakuu, nimetumiwa mwaliko huu wa uwepo wa mkutano na waandishi na wahariri kesho saa nne na nusu pale serena. ningependa nasi sote tuitikie wito huu kwa kuarifiana juu ya tukio hilo.

zaidi soma Taarifa za mwaliko

Mwaliko wa Mkutano na Waandishi wa habari: Ndugu Albert MsandoMWANASHERIA wa Mhe Zitto Zuberi Kabwe (Mb), Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba, Ndugu Albert Msando, atazungumza na wahariri wa vyombo vya habari katika Hoteli ya Serena kuanzia saa nne na nusu asubuhi (saa 4.30 asubuhi).

Dhima ya mkutano huu itakuwa kutoa ufafafunuzi juu ya mashitaka 11 na majibu yake ambayo Mhe. Zitto Kabwe na washitakiwa wenzake walipewa na Kamati Kuu ya CHADEMA. Aidha, katika kikao hiki Ndugu Msando, kwa niaba ya wateja wake, ataeleza hatua ambazo wateja wake wanazichukua ndani ya chama katika kuhakikisha kwamba mgogoro uliopo unakwisha kwa amani na haraka iwezekanavyo bila kuleta athari zaidi kwa chama.

Tunatanguliza shukrani na tunaomba waalikwa wazingatie muda.

Imetolewa na Ofisi ya Mbunge Zitto Kabwe,
Jumanne, 10 Desemba 2013
Dar es Salaam
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,021
Likes
14,892
Points
280
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,021 14,892 280
Albert Msando unaenda kuwajibia mashtaka?
 
Last edited by a moderator:
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
27,811
Likes
32,090
Points
280
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
27,811 32,090 280
Kumbe mashtaka hayo wanawajibu waandishi wa habari na si Kamati kuu! Ukisoma post za. Msando kwenye Facebook wall yake utagundua ni kijana wa aina gani, no wonder mwenendo wake. Ila ni diwani wa Chadema pia. Tusubiri sega Dance lingine
 
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Messages
12,816
Likes
4,378
Points
280
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2012
12,816 4,378 280
Nitakuja huko
 
meningitis

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Messages
8,070
Likes
968
Points
280
meningitis

meningitis

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2010
8,070 968 280
Ni haki yao kujibu...lakini ultmately kamati kuu ndio itakayoamua juu yao!
 
Babkey

Babkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Messages
4,584
Likes
2,660
Points
280
Babkey

Babkey

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2010
4,584 2,660 280
Waandishi ndio kamati kuu!
Hii ni ngumu kumeza.
 
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,733
Likes
2,303
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,733 2,303 280
safi team zito tupo naww kamanda
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,021
Likes
14,892
Points
280
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,021 14,892 280
mleta mada mbona hujiamni?
 
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
14,736
Likes
4,439
Points
280
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2012
14,736 4,439 280
..

...Ha ha ha ha kina cha maji kimeongezeka Kigoma!!!!!
 
Ng'wanangwa

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Messages
10,661
Likes
1,610
Points
280
Ng'wanangwa

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2010
10,661 1,610 280
Wakuu, nimetumiwa mwaliko huu wa uwepo wa mkutano na waandishi na wahariri kesho saa nne na nusu pale serena. ningependa nasi sote tuitikie wito huu kwa kuarifiana juu ya tukio hilo.

zaidi soma Taarifa za mwaliko

Mwaliko wa Mkutano na Waandishi wa habari: Ndugu Albert MsandoMWANASHERIA wa Mhe Zitto Zuberi Kabwe (Mb), Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba, Ndugu Albert Msando, atazungumza na wahariri wa vyombo vya habari katika Hoteli ya Serena kuanzia saa nne na nusu asubuhi (saa 4.30 asubuhi).

Dhima ya mkutano huu itakuwa kutoa ufafafunuzi juu ya mashitaka 11 na majibu yake ambayo Mhe. Zitto Kabwe na washitakiwa wenzake walipewa na Kamati Kuu ya CHADEMA. Aidha, katika kikao hiki Ndugu Msando, kwa niaba ya wateja wake, ataeleza hatua ambazo wateja wake wanazichukua ndani ya chama katika kuhakikisha kwamba mgogoro uliopo unakwisha kwa amani na haraka iwezekanavyo bila kuleta athari zaidi kwa chama.

Tunatanguliza shukrani na tunaomba waalikwa wazingatie muda.

Imetolewa na Ofisi ya Mbunge Zitto Kabwe,
Jumanne, 10 Desemba 2013
Dar es Salaam

athari ni kubwa mno kwa chama kama snitch kama zitto ataendea kuwa chadema
 
D

damcon

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Messages
214
Likes
7
Points
35
Age
37
D

damcon

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2011
214 7 35
Zitto ashasahaulika .kwenye TZ politics gatz,aanzishe chama chake cha dini yake na kanda yake amchukue kafulila,habib,hamad rashid,kisandu na wasaliti wenzie.msando majibu si lazima kwenye media na hatuna interest nayo,tunasubiri maamuzi ya kamati a.k.a CC.u guys try to learn in politics being quite is also an answer.tushawachoka you too wabinafsi.
 
lane

lane

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Messages
894
Likes
82
Points
45
lane

lane

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2013
894 82 45
daaaah.....

kweli busara na hekima ni muhimu sana ndugu zangu. yaani mashitaka upewe na chama kwa maandishi tena kupitia vikao halali halafu we unaleta porojo? unawaita wahariri?

yaani hawa akina zitto wamekosa kabisa mtu wa kuwashauri? aibu kubwa sana hii.

leo hawa hawafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi
 
palalisote

palalisote

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2010
Messages
8,348
Likes
59
Points
0
palalisote

palalisote

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2010
8,348 59 0
Halafu hawa eti ndiyo wanataka kugombea uraisi 2015. What a shame.
 
Fede Masolwa

Fede Masolwa

Verified Member
Joined
Oct 26, 2013
Messages
528
Likes
6
Points
35
Fede Masolwa

Fede Masolwa

Verified Member
Joined Oct 26, 2013
528 6 35
dogo atapoe vibaya sanaaaa, ataongea kama wakili lakini atatafisiliwa kama naye ni msariti na udiwani wake utakuwa na tabu sanaa, ushaur wajibu kamati kuu kwa maelezo sio wahandishi wa habar kwani aitasaidia kabisa ata walichoongoa kipindi kile kimeshapotea masikioni mwa watu.
 
Forum statistics

Threads 1,251,979
Members 481,948
Posts 29,792,185