Albert Msando, Mwanasheria wa Zitto, Kitila na Mwigamba Kuunguruma kesho Serena 4.30 asbh

mwenegoha

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
205
101
Wakuu, nimetumiwa mwaliko huu wa uwepo wa mkutano na waandishi na wahariri kesho saa nne na nusu pale serena. ningependa nasi sote tuitikie wito huu kwa kuarifiana juu ya tukio hilo.

zaidi soma Taarifa za mwaliko

Mwaliko wa Mkutano na Waandishi wa habari: Ndugu Albert Msando

MWANASHERIA wa Mhe Zitto Zuberi Kabwe (Mb), Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba, Ndugu Albert Msando, atazungumza na wahariri wa vyombo vya habari katika Hoteli ya Serena kuanzia saa nne na nusu asubuhi (saa 4.30 asubuhi).

Dhima ya mkutano huu itakuwa kutoa ufafafunuzi juu ya mashitaka 11 na majibu yake ambayo Mhe. Zitto Kabwe na washitakiwa wenzake walipewa na Kamati Kuu ya CHADEMA. Aidha, katika kikao hiki Ndugu Msando, kwa niaba ya wateja wake, ataeleza hatua ambazo wateja wake wanazichukua ndani ya chama katika kuhakikisha kwamba mgogoro uliopo unakwisha kwa amani na haraka iwezekanavyo bila kuleta athari zaidi kwa chama.

Tunatanguliza shukrani na tunaomba waalikwa wazingatie muda.

Imetolewa na Ofisi ya Mbunge Zitto Kabwe,
Jumanne, 10 Desemba 2013
Dar es Salaam
 
Kumbe mashtaka hayo wanawajibu waandishi wa habari na si Kamati kuu! Ukisoma post za. Msando kwenye Facebook wall yake utagundua ni kijana wa aina gani, no wonder mwenendo wake. Ila ni diwani wa Chadema pia. Tusubiri sega Dance lingine
 
Wakuu, nimetumiwa mwaliko huu wa uwepo wa mkutano na waandishi na wahariri kesho saa nne na nusu pale serena. ningependa nasi sote tuitikie wito huu kwa kuarifiana juu ya tukio hilo.

zaidi soma Taarifa za mwaliko

Mwaliko wa Mkutano na Waandishi wa habari: Ndugu Albert Msando

MWANASHERIA wa Mhe Zitto Zuberi Kabwe (Mb), Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba, Ndugu Albert Msando, atazungumza na wahariri wa vyombo vya habari katika Hoteli ya Serena kuanzia saa nne na nusu asubuhi (saa 4.30 asubuhi).

Dhima ya mkutano huu itakuwa kutoa ufafafunuzi juu ya mashitaka 11 na majibu yake ambayo Mhe. Zitto Kabwe na washitakiwa wenzake walipewa na Kamati Kuu ya CHADEMA. Aidha, katika kikao hiki Ndugu Msando, kwa niaba ya wateja wake, ataeleza hatua ambazo wateja wake wanazichukua ndani ya chama katika kuhakikisha kwamba mgogoro uliopo unakwisha kwa amani na haraka iwezekanavyo bila kuleta athari zaidi kwa chama.

Tunatanguliza shukrani na tunaomba waalikwa wazingatie muda.

Imetolewa na Ofisi ya Mbunge Zitto Kabwe,
Jumanne, 10 Desemba 2013
Dar es Salaam

athari ni kubwa mno kwa chama kama snitch kama zitto ataendea kuwa chadema
 
Zitto ashasahaulika .kwenye TZ politics gatz,aanzishe chama chake cha dini yake na kanda yake amchukue kafulila,habib,hamad rashid,kisandu na wasaliti wenzie.msando majibu si lazima kwenye media na hatuna interest nayo,tunasubiri maamuzi ya kamati a.k.a CC.u guys try to learn in politics being quite is also an answer.tushawachoka you too wabinafsi.
 
daaaah.....

kweli busara na hekima ni muhimu sana ndugu zangu. yaani mashitaka upewe na chama kwa maandishi tena kupitia vikao halali halafu we unaleta porojo? unawaita wahariri?

yaani hawa akina zitto wamekosa kabisa mtu wa kuwashauri? aibu kubwa sana hii.

leo hawa hawafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi
 
dogo atapoe vibaya sanaaaa, ataongea kama wakili lakini atatafisiliwa kama naye ni msariti na udiwani wake utakuwa na tabu sanaa, ushaur wajibu kamati kuu kwa maelezo sio wahandishi wa habar kwani aitasaidia kabisa ata walichoongoa kipindi kile kimeshapotea masikioni mwa watu.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom