Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Mama Samia Asije Akasita kumtumia Bashiru kama Waziri, The Guy is very smart
Wala si best wangu, binafsi sitaki hata kumsikia kwenye chama abaki huko aliko.Pole sana kwa best wako kukutwa na hayo yaliyo mkuta na sasa sifa zake zoote zimeporomoka kama mchanga
Naamini hivyo pia.Ogopa sana kitu kinachoitwa nyakati, kinachobadili watu si tabia ni nyakati, yaan muda utaamua tabia yako iwe namna gani? Kwa yale yanayotajwa dhidi yake kwanini ni yeye tuu na si wengine?
Umenielewa vyema kabisa. Tunashukuru Mungu ametuepusha na hilo, binafsi nimeshukuru sana 😀Kwenye wizi pana walakini kwa kweli. Ila aina ya uongozi wake ndio iliyomchafua sana. Ubabe ubabe.. Najiuliza sipati jibu - alikumbwa na nini Dr masikini?!! Maana ni kama madaraka yalimlevya. Yeye na yule jamaa mwingine wa ‘viete’. Waliendesha chama kama wanaswaga ng’ombe jamani!
Hapo kwenye ‘pengine walikuwa na jambo lao’, panafikirisha sana. Labda ni Mungu tu ndio ametuokoa na hilo jambo lao. Maana tusingeweza kulizuia. Au ni kweli ‘tunausalama’ mzuri sana kama wachache wasemavyo, kwamba imezuiliwa jambo hilo lisiikumbe nchi (japo siamini kama hao watu wanaweza kulisaidia taifa kiasi hicho, maana na wao walishakuwa watu wa kuabudu). Pole yake Dr.
Kwa ulivyo mtetea inaonyesha unamfahamu kwa ukaribu.Wala si best wangu, binafsi sitaki hata kumsikia kwenye chama abaki huko aliko.
Ni kweli, ni kweli kabisa. CV imeingia mchanga na mama samia kamchomoa tu, tusemeni ukweli pale kachomolewa. Mama angetaka kufanya nae kazi angemuacha kwenye nafasi aliyopewa na hayati na angefanya nae kazi kila siku, na hata angemhitaji katika baraza la mawaziri angemuacha kule kule kama katibu mkuu, sababu kama sikosei katibu mkuu ni katibu wa baraza la mawaziri pia (naomba kusahihishwa).Kwa ulivyo mtetea inaonyesha unamfahamu kwa ukaribu.
Ila jamaa yako cv zake ndiyo tayari zisha ingia doa
"Kwanza hizi nafasi ni za uteuzi na kila mtu anachagua mtu ambaye anataka afanye naye kazi na kwanini. Dkt Bashiru Ally alikuwa karibu sana na Hayati Rais John Magufuli alimwamini.
Kwa upande wangu binafsi namkubali na namwamini sana Dkt. Bashiru, mimi ni mmojawapo ninayesema Dkt. Bashiru sio mla rushwa, ana nidhamu na anapenda kazi yake.
Ni mtu ambaye analala masaa mawili, saa 10 kamili alfajiri ameamka hata kama mlilala wote saa 9 hivyo ndivyo tulifanya kazi wote.
Na hicho ndio kitu ambacho alikiona Hayati Rais Magufuli kwake. Naamini kule bungeni ataongeza kitu kikubwa sana" Albert Msando, Mwanasheria.
Msando katumia kipimo gani kujua Bashiru siyo mla rushwa?"Kwanza hizi nafasi ni za uteuzi na kila mtu anachagua mtu ambaye anataka afanye naye kazi na kwanini. Dkt Bashiru Ally alikuwa karibu sana na Hayati Rais John Magufuli alimwamini.
Kwa upande wangu binafsi namkubali na namwamini sana Dkt. Bashiru, mimi ni mmojawapo ninayesema Dkt. Bashiru sio mla rushwa, ana nidhamu na anapenda kazi yake.
Ni mtu ambaye analala masaa mawili, saa 10 kamili alfajiri ameamka hata kama mlilala wote saa 9 hivyo ndivyo tulifanya kazi wote.
Na hicho ndio kitu ambacho alikiona Hayati Rais Magufuli kwake. Naamini kule bungeni ataongeza kitu kikubwa sana" Albert Msando, Mwanasheria.
Mbona ni mpayukaji na anaweza kuwa corrupt hata kama unampenda vipi"Kwanza hizi nafasi ni za uteuzi na kila mtu anachagua mtu ambaye anataka afanye naye kazi na kwanini. Dkt Bashiru Ally alikuwa karibu sana na Hayati Rais John Magufuli alimwamini.
Kwa upande wangu binafsi namkubali na namwamini sana Dkt. Bashiru, mimi ni mmojawapo ninayesema Dkt. Bashiru sio mla rushwa, ana nidhamu na anapenda kazi yake.
Ni mtu ambaye analala masaa mawili, saa 10 kamili alfajiri ameamka hata kama mlilala wote saa 9 hivyo ndivyo tulifanya kazi wote.
Na hicho ndio kitu ambacho alikiona Hayati Rais Magufuli kwake. Naamini kule bungeni ataongeza kitu kikubwa sana" Albert Msando, Mwanasheria.
Angalia huyu, kuuliza swali ndiyo kupinga? Ukilaza huu ni mzigo. Jitafakari na uchukue hatuaWewe ndiyo usiyo jua unachopinga
Oh sawa kumbe walikua wanalala na kuamka pamoja wakiwa wanafatilia mali za ccm.Walikuwa wote kwenye kufuatilia mali za chama, pengine ndiko alikojulia "ratiba" ya kulala ya Bashiru
View attachment 1740797
Hakuna kilaza yeyote awaye kuwazidi nyie vilaza wa lumumbaAngalia huyu, kuuliza swali ndiyo kupinga? Ukilaza huu ni mzigo. Jitafakari na uchukue hatua
Tapeli la kisiasaMlamba makalio huyu, anawinda uteuzi🤣na mama hakupi teuzi ng'ooo, utasubiri Sana🤣🤣
Ndiyo maana alimzawadia ukuu wa wilayaNi mtu ambaye analala masaa mawili ata kama amelala sa 9 ataamka saa 10. Huyu ni roboti kabisa sio binadamu wa kawaida
Pagumu hapoBasi awekeze nguvu zake kwenye biashara atafanikiwa ila huku hatufai.