Albert Msando apotoka tena

Kweli wewe kilaza,nimesoma ule waraka hakuna mahali wamesema watampindua mbowe,ila waliandaa mtu ili agombee pindi uchaguzi utakapoitishwa.

Hilo ni Kundi la Waasi kama kundi la M23 la Kongo.

Poleni mlivyopata kipigo cha Mbwamwizi
 
Imekuwa kama mashindano ya kujipatia publicity.

Leo hicho kiwakili Msando kimeitisha presser...hamna lolote la maana kilichozungumzia. Hakuna jipya zaidi ya kutafuta kiki.

Kesho ama keshokutwa akina Mnyika nao wataitisha presser. Hamna ya maana watakayoongea.

Ili mradi ni vurugu tu na nani anapata airtime.

I'm so sick of them.

so sick of political songs
 
Mlivyo vilaza mnadhani kila anayepingana au kuwakosoa ni msaliti. Hizi ndio tabia za kiCCM na mnafanya usaliti bila nyie kujua. Badala ya kujibu mnakimbilia kumuita mtu msaliti. fxxxx.

Lumumba mlichobakiza ni matusi tu..

Ha Ha Haaa!!!

Wasaliti kwishney.Nakuhakikishia kabla ya January huyu Msando atatimuliwa kwa usaliti wake ndani ya chama.

Vyama viko tele akaungane na waropokaji kwenye vyama vyama vya kuropoka lakini si CDM.Imekula kwake mazima!!
 
Press conference/ briefing.

yaani bora yake huyu ambaye ameuliza kutaka kujua,
yupo mmoja eti nae anadai ni memba wa CDM tena mkereketwa halafu hajui maana ya neno KUVUVIWA eti anakosoa kabisa andika vizuri kuvuviwa ndo kitu gani sasa.........
siasa za bongo mashabiki vichwa maji viongozi wao vichwa nazi
 
Kwi kwi Kwi....Mfamaji wa Lumumba.

Vijana wa UVCCM jana walikuwa Imara kulinda mkutano Serena.

Huyu si wa Lumumba mkuu bali ni mtu aliyefukuzwa uongozi huko mkoani yupo Dar na sasa ana hasira na uongozi uliopo.Ni mtetezi mkubwa wa hawa wasaliti na vibaraka wa Lumumba.Ni mnafiki kweli kweli na anafahamika.Siku zake zinahesabika.Alifikiri yeye ni mjanja sana,Kama si kanuni za JF ningemtaja hapa
 
Huyu ni mchaga mwenzao hawawezi kumfukuza

Katiba ya chadema haiangalii wlanayeadhibiwa ni kabila gani au dini gani. Haiangalii pia ni jinsia gani.

Yeyote atakayevunja kanuni ni lazima ashughulikiwe!

Mawazo yenu nyie maccm lazima muwaze ukabila na udini kwakuwa akili zenu zimedumaa!!! pole
 
Wamekuwa kama vi-teenybopper vya junior high school vinavyogombania vivulana.

Shameful. Hivi na huyo Msando kakosa vijikesi vingine huko uraiani?
How do you and I know,maybe it's anew style of publicizing and promulgating the part.
 
Katiba ya chadema haiangalii wlanayeadhibiwa ni kabila gani au dini gani. Haiangalii pia ni jinsia gani.

Yeyote atakayevunja kanuni ni lazima ashughulikiwe!

Mawazo yenu nyie maccm lazima muwaze ukabila na udini kwakuwa akili zenu zimedumaa!!! pole

Lema hajavunja kanuni?

Henry Kilewo hajavunja kanuni?

Wameadhibiwa?
 
Mzee Slaa alisha sema huu mjadala umefungwa lakini na yeye anaendeleza kugonka like kwa vijana wake wanao endeleza haya malumbano. Kwakweli Uzee sio akili.
 
Katiba ya chadema haiangalii wlanayeadhibiwa ni kabila gani au dini gani. Haiangalii pia ni jinsia gani.

Yeyote atakayevunja kanuni ni lazima ashughulikiwe!

Mawazo yenu nyie maccm lazima muwaze ukabila na udini kwakuwa akili zenu zimedumaa!!! pole
Mbona Ben bado yuko wakati wenzake wote walifukuzwa? Nyie wachaga mnapendeleana bana.
 
Imekuwa kama mashindano ya kujipatia publicity.

Leo hicho kiwakili Msando kimeitisha presser...hamna lolote la maana kilichozungumzia. Hakuna jipya zaidi ya kutafuta kiki.

Kesho ama keshokutwa akina Mnyika nao wataitisha presser. Hamna ya maana watakayoongea.

Ili mradi ni vurugu tu na nani anapata airtime.

I'm so sick of them.

Umeona eee wanawachanganya wanachama wao pia yaan hawana cha kufanya hawa jamaa mpska upepo upite watakua washasema mengi mno
 
Yaani what is going on chadema,vurugu zitawakimbiza watu chamani this is the world of civilisation
 
Uwazi wa hili jambo ndio linakera wahafidhina!!!!!
Wanataka umma usikie ya upande mmoja tu!!!!!

Asante Msando kwa kuweka kila kitu hadharani na usichoke kila linalojiri weka hewani ili kama haki ikichukua mkondo wake basi asiwepo wa kulaumiwa au kulaumu!!!!!!

Hao wanasheria wenzio wanaojidai kulaumu hapa achana nao kama wana nia ya kweli wangejitokeza kabla hata kushauri tu lakini umeanza wao wanapaka rangi sasa,ni waoga na wasio na uthubutu kama nao sio wahafidhina!!!!!!

Udiwani nini bana; hili la kutishiana kuvuana madaraka kwa kila jambo ndio linafuga wanafiki hapo chamani sababu kwa hili kila mtu atafunga mdomo sababu ukisema wanakuvua madaraka. Kuna vichaka vitatu sasa "vikao halali", "utaratibu wa chama" na "kinyume na wadhifa wake" humu ndio mtikisiko wa chama ulipo!!!!
 
Ameshazoea kupotoka mwache wafu waendelee kusikiliza wafu wenzao sisi Kigoma tunapiga kazi
 
something i dont get it in CDM
its ok for some to do things
but its not ok for some to do the same thing smh!
 
Back
Top Bottom