Kwanini Albert Msando hashitakiwi kwenye kamati ya nidhamu ya Mawakili?

lord atkin

Senior Member
Sep 30, 2018
197
683
Maneno anayotumia wakili Albert Msando kusapoti mkataba wa DP World ni maneno ya dharau na karaha huku akiwashambulia mawakili wenzake na kuwadharau kuwa wanaopinga mkataba wa DP World ni mawakili wa sheria za ndoa na mirathi hivyo hawaelewi kitu kuhusu mkataba wa bandari.

Hiki anachokifanya ni kinyume na maadili ya mawakili cha kujiuliza ni kwanini Albert Msando yeye hajashitakiwa kwenye kamati ya nidhamu ya mawakili kama ambavyo Wakili Boniface Mwabukusi ameshitakiwa? Ina maana Mwanasheria mkuu wa serikali haoni jinsi Albert Msando anavyokiuka kanuni za maadili za mawakili?
 
KALEWA MADARAKA HUYO CHEO CHENYEWE UDC na kazi ya DC ni pamoja na Kusuluhisha NDOA
 
Maneno anayotumia wakili Albert Msando kusapoti mkataba wa DP World ni maneno ya dharau na karaha huku akiwashambulia mawakili wenzake na kuwadharau kuwa wanaopinga mkataba wa DP World ni mawakili wa sheria za ndoa na mirathi hivyo hawaelewi kitu kuhusu mkataba wa bandari.

Hiki anachokifanya ni kinyume na maadili ya mawakili cha kujiuliza ni kwanini Albert Msando yeye hajashitakiwa kwenye kamati ya nidhamu ya mawakili kama ambavyo Wakili Boniface Mwabukusi ameshitakiwa? Ina maana Mwanasheria mkuu wa serikali haoni jinsi Albert Msando anavyokiuka kanuni za maadili za mawakili?
Mwambieni wenye Akili na kuyajua mengi ya Serikalini na Chamani tunajua ni lazima ajipendekeze kwa Serikali na kwa Mama ( Rais ) kwakuwa hatakiwi na Mabadiliko yajayo ya DC hatokuwepo tena kwa Kuachwa kama alivyoachwa wa Kujipendekeza Mwenzake Jerry Muro ambaye GENTAMYCINE nilimuonya hapa hapa JamiiForums kuwa ajitathmini kwani anaenda Kuliwa Kichwa ( Kutemwa ) na Mama kwakuwa hakuwa Mtu wake ( hawaivi ) na kweli ikawa kama nilivyomtahadharisha.
 
Nenda kamshtaki wewe!!

Tangu lini kuambiwa wakili wa mirathi imekuwa tusi au neno la kejeli?
 
Maneno anayotumia wakili Albert Msando kusapoti mkataba wa DP World ni maneno ya dharau na karaha huku akiwashambulia mawakili wenzake na kuwadharau kuwa wanaopinga mkataba wa DP World ni mawakili wa sheria za ndoa na mirathi hivyo hawaelewi kitu kuhusu mkataba wa bandari.

Hiki anachokifanya ni kinyume na maadili ya mawakili cha kujiuliza ni kwanini Albert Msando yeye hajashitakiwa kwenye kamati ya nidhamu ya mawakili kama ambavyo Wakili Boniface Mwabukusi ameshitakiwa? Ina maana Mwanasheria mkuu wa serikali haoni jinsi Albert Msando anavyokiuka kanuni za maadili za mawakili?
Kama AG na Msando wako msimamo mmoja kuhusu hili swala la Bandari basi hatoweza kufanya chochote. Kwa sasa kinachoangaliwa ni nani yuko na mimi na nani hayuko na mimi, sio nani kasema nini.
 
Subiri uone. Most likely utamuona Msando in the next cabinet.
Mwambieni wenye Akili na kuyajua mengi ya Serikalini na Chamani tunajua ni lazima ajipendekeze kwa Serikali na kwa Mama ( Rais ) kwakuwa hatakiwi na Mabadiliko yajayo ya DC hatokuwepo tena kwa Kuachwa kama alivyoachwa wa Kujipendekeza Mwenzake Jerry Muro ambaye GENTAMYCINE nilimuonya hapa hapa JamiiForums kuwa ajitathmini kwani anaenda Kuliwa Kichwa ( Kutemwa ) na Mama kwakuwa hakuwa Mtu wake ( hawaivi ) na kweli ikawa kama nilivyomtahadharisha.
T
 
Msando ni wakili tapeli ndio mana ofisi yake ilimshinda akaamua kuwa dc ...exim bank walikua wateja wake mwisho wakamfukuza,katapeli sana matajiri arusha
Maneno anayotumia wakili Albert Msando kusapoti mkataba wa DP World ni maneno ya dharau na karaha huku akiwashambulia mawakili wenzake na kuwadharau kuwa wanaopinga mkataba wa DP World ni mawakili wa sheria za ndoa na mirathi hivyo hawaelewi kitu kuhusu mkataba wa bandari.

Hiki anachokifanya ni kinyume na maadili ya mawakili cha kujiuliza ni kwanini Albert Msando yeye hajashitakiwa kwenye kamati ya nidhamu ya mawakili kama ambavyo Wakili Boniface Mwabukusi ameshitakiwa? Ina maana Mwanasheria mkuu wa serikali haoni jinsi Albert Msando anavyokiuka kanuni za maadili za mawakili?
 
Maneno anayotumia wakili Albert Msando kusapoti mkataba wa DP World ni maneno ya dharau na karaha huku akiwashambulia mawakili wenzake na kuwadharau kuwa wanaopinga mkataba wa DP World ni mawakili wa sheria za ndoa na mirathi hivyo hawaelewi kitu kuhusu mkataba wa bandari.

Hiki anachokifanya ni kinyume na maadili ya mawakili cha kujiuliza ni kwanini Albert Msando yeye hajashitakiwa kwenye kamati ya nidhamu ya mawakili kama ambavyo Wakili Boniface Mwabukusi ameshitakiwa? Ina maana Mwanasheria mkuu wa serikali haoni jinsi Albert Msando anavyokiuka kanuni za maadili za mawakili?
ni kwasababu yeye ni mwanaccm. wasichojua kuhusu mwabukusi, alienda mbeya kwasababu ya siasa na hata wakimvua wanapoteza tu muda, yeye maisha yake ni siasa. though najua wanamuogopa, baada ya kuona moto wake mahakamani wameona wamnyang'anye uwakili asije kuwapiga za uso tena. ni aibu kuogopa mto mahakamani wakati unalo rundo la mawakili wa serikali ambao wangemkabili, mmeona solution ni kumvua uwakili ili asiwacharaze za mgongo. hata akifungiwa huyo, wapo kina mwabukusi wanasheria wengine wanazaliwa kila siku, labda mfute profession yote ya sheria ila kama bado ipo, mnajisumbua tu.
 
Maneno anayotumia wakili Albert Msando kusapoti mkataba wa DP World ni maneno ya dharau na karaha huku akiwashambulia mawakili wenzake na kuwadharau kuwa wanaopinga mkataba wa DP World ni mawakili wa sheria za ndoa na mirathi hivyo hawaelewi kitu kuhusu mkataba wa bandari.

Hiki anachokifanya ni kinyume na maadili ya mawakili cha kujiuliza ni kwanini Albert Msando yeye hajashitakiwa kwenye kamati ya nidhamu ya mawakili kama ambavyo Wakili Boniface Mwabukusi ameshitakiwa? Ina maana Mwanasheria mkuu wa serikali haoni jinsi Albert Msando anavyokiuka kanuni za maadili za mawakili?
Hakuna mlalamikaji.
 
Back
Top Bottom