Albert Msando apotoka tena

wote nyie ni vilaza! kimya hamna sentensi wala tenzi,kojoeni kabla ya kulala msije mkakojoa kitandani maana akili zenu ni fupi kama mnavyofikiria.

Marahabaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Lengo lenu sio kukomboa nchi ila ni kukomba nchi...

yaani wewe na elimu yak hamuendani kabisao afadhali hata kapuya anaitumia kuvua chupi watoto yatima na kuwaambukiza hiv.. wewe ni noga kabisa eti dr..
 
Eti ni mwanachama wa Chadema.

Nyang'anya Kadi hyo.Sijui viongozi wa Kanda ya Kaskazini wanafanya nini hawaoni huu utovu wa Nidhamu wa huyu anayejiita Diwani wa Chadema.

Naye muda wake unahesabika kwa ujinga wake eti anajifanya anasimama kama Mwanasheria. Mwanasheria my foot hata layman anaweza akafanya kazi nzuri zaidi ya viroja vyake hapo juu
 

nendeni ofisini kwenu kinondoni mkasutane sio mnashinda JF. hivi mbona hujamsafisha na Masalia wakina Shonza? huyo Zitto kashachafuka na usaliti hata kwa tindikali hasafishiki.
 
Ben:

1. Ni nini ambacho nimepotosha?

2. Ni kashfa gani nimetoa dhidi ya chama?

3. Ni uzushi gani nimefanya dhidi ya chama?

Leo umejitoa sana ufahamu sema shule ya Mhe Lissu imekususaidia kupunguza kile kiburi cha ujinga unaozidi ujinga wa sheria
 
Bora msukule unaweza tumwa sehemu kuliko chuma chakavu lisilofaa kwa matumizi zaidi ya kurejeshwa kiwandani kutengenezwa product nyingine"wewe ni chuma chakavu"

kachumbari haikamiliki bila kutia mbwembwe zote ulizizitaja hapo

haqhahahahahhah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!111111
lait mngevuviwa nia ya kweli ya kuongoza hiuli taifa mngekuwa bora kweli...............katika maadui wakubwa niwaonao kwa sasa kwenye hii nchi CDM ni mmoja wapo.

kajipangen upya ila hata wa upinzani nwenzenu wanakerwa na mienendon yenu
 
why are you taking it public kama wewe ni mwanachama na mbali ya hapo ni diwani hujui taratibu za chama kweli? Serena hotel imekuwa sehemu ya mamlaka za chama hadi ujitokeze kila siku kwenye hadhara
unaonekana mtoto kweli aisee

John Mnyika na Tundu Lissu walikuwa wanaongelea wapi?

Amefanya vyema kueleza umma jinsi chadema wanavyo kihuka katiba yao.
Hapa ndio kazi imeanza.

Tuna subiri tamko la lissu na mnyika.
 
Last edited by a moderator:
Acheni upumbavu na nyie mnamtukuza sana lusu ndo mana anajiona na kuwazarau wengune.hana lolote huyo njaa tu ndo zi.amdumbua
Amekalia kyropoka tu.
 
John Mnyika na Tundu Lissu walikuwa wanaongelea wapi?

Amefanya vyema kueleza umma jinsi chadema wanavyo kihuka katiba yao.
Hapa ndio kazi imeanza.

Tuna subiri tamko la lissu na mnyika.

Mkuu,

Hawa watu ni wa ajabu sana. Mbowe akimsifia Kikwete wanaona sawa, lakini January akimsifia Zitto wanasema Zitto msaliti!
 
Last edited by a moderator:
Tulikua Tumepumzika Upuuzi wa sijui Wakili Msando mara Zitto manake ilikua ni kero kila ukiangalia Gazeti La Mwananchi, sasa tena wameanza kesho hii ni habari ya Mwananchi kubwa kabisa,,, sielewi kwanini hawa watu hawafati utaratibu, kama anapenda vyeo vya cdmbasi aitumikie kwa kufuata utaratibu sio kufanya mapinduzi ....
 
Albert Msando kamgaragaza vibaya Tundu Lissu kwenye ulingo wa siasa

Makamanda wanataka Msando apokonywe Kadi ya Chadema.

Yaani Kadi za chadema siku hizi ni kama zawadi za Christmas, ili mtu apate inabidi amfurahishe "Santa"...
 
Diwani kamgaragaza mbunge Akilindogo kutawala Akili kubwa ya mwanasheria mkuu wa chadema kweli maccm nimazuzu.
 

kila mtu ameshajua chadema watafanya kila njia hili kumfukuza msando na msanso asirudi nyuma.

Chadema kuambiwa ukweli kwao ni kama kumkataza Dr.W.Slaa kukopa.
 
Last edited by a moderator:

Kaa kitako uandike vzr wewe"mngevuviwa" ndiyo nini? Bora kuwa adui wa siku moja kuliko kuwa adui wa miaka52,tunakoelekea nitakukosea heshima bure acha ni obey rules za JF......salute kwako
 
waambie hao.... naona ego za ujana zinawafanya wawe myopic

Mbali ya ego za ujana hawa jamaa are malicious and they're out to destroy Chadema but funny thing is wako so disorganized hadi this has turned into a childish game. Tunaicheza wanavyotaka wao tutawajibu pale wanapotoka kijinga kutaka kuaminisha vitu visivyokuwepo
MO yao inajulikana kabisa
 
Mh.Msando leo umeonyesha Konfidensi ya juu kuliko,siku za nyuma UKIONGEA mbele ya watu unatetemeka tetemekaaaaa HONGERA SANA KWA HILO! Ila ulichoongea tu ni........ PU.MBA!
 
Yaani wewe na Ngosha NN mnasafishwa Bongo zenu na Chadema na nyie mnakubali? Khaaaa!!!!

Kwanza kwenda tu kuinama kwa sijui Tundu Lissu au Mnyika na kukinga kichwa chako KISWAFISHWE UBONGO na hao Ngosha na mwenzake Wantenda Ntuni Wang kinatia shaka sana uwezo wako wa kufikiri. Si mgome kusafishwa Bongo zenu? Mbona mie nilishagoma siku nyingi na wameshindwa kusafisha? Pana wakati walileta hadi VANISH, ikashindwa kazi kabisa na wakaachana na mie.



AHHH, BARCELONA 3-0. Mie na Kichupa changu cha Gongo na Nyama pori yangu hapa inashuka bila tatizo kabisa. Chelsea nako poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…