Albert Msando apotoka tena

Raha kubwa sana tunapamabana na watu wasioweza kuficha siri, hawawezi hata kunong'onezana lazima watasalitiana sasa hivi. Nyerere alisema dhambi ya usaliti haiishii hapo lazima itasaliti mpaka ndugu zao na mama zao.
 
Duh!
Kishamnukia, hakika hakuna Rangi hata acha ona upepo ukitulia.
 
Huku kuna vijamaa vina taaluma ya sheria havijawahi kupata mteja wa maana zaidi ya kusaini mikataba ya vyumba sasa naona roho zinawauma kweli

Kumbe wateja wengine siyo wa maana? Sikulijua hilo.
 
Makosa yale yale waliyofanya mara ya kwanza wakayarudia tena leo!!!

Kwa upuuzi huu wa Albert Msando chadema wasipomfukuza Zitto Kabwe nitaahangaa sana

Pia Kamati Kuu waende mbali zaidi wakiagize chama wilaya ya Moshi vijijini kufukuza huyu Diwani anayekidhalilisha chama kupitia ukumbi wa Serena unaolipiwa na CCM.
 
Huyu Msando ni mchumia tumbo anajulikana na amekuwa akitukana viongozi wa Chadema kila siku kupitia FB wall yake!

Sijui Chadema iliokota wapi mamluki hawa na kuwapatia uongozi.
Hivi kumbe mpo wengi wafuata mkumbo
 
kiongozi mwaikenda nakushukuru sana kwa ufafanuzi makini sana usio na chembe ya mashaka , unajua bhana , sisi tunaotibu wagonjwa tunafahamu ile hatua ya mwisho kabisa ya marehemu , kabla ya kukata roho !
 
Je wamtetea Zitto kama nani na kwa nini? Kikatiba mwanachama akoseapo chamani hujitetea mwenye .Pale Serena ulienda kwenye promo tu hauna jipya zaidi ya kujifedhehesha kwenye taaluma yako.

Kuwa makini wacha kutumika, fedha za magumashi toka magambani zitakupoza dhidi ya nguvu ya umma.

Je suala la Lwekatare huyo mteja wako Zitto alisema nini na kwa sababu gani?

Wasaliti tokeni wacheni CHADEMA isitawi.
 
Raha kubwa sana tunapamabana na watu wasioweza kuficha siri, hawawezi hata kunong'onezana lazima watasalitiana sasa hivi. Nyerere alisema dhambi ya usaliti haiishii hapo lazima itasaliti mpaka ndugu zao na mama zao.

Tujiulize mbona Dr Kitila leo hajashiriki huo ujinga wa kuropoka anakata Rufaa?

Akili Kumkichwa...!!
 
Raha kubwa sana tunapamabana na watu wasioweza kuficha siri, hawawezi hata kunong'onezana lazima watasalitiana sasa hivi. Nyerere alisema dhambi ya usaliti haiishii hapo lazima itasaliti mpaka ndugu zao na mama zao.

Shhhhhhhhh..... Kimya mkuu!
 
Eti pale Serena alizungukwa na vijana wa UVCCM.

Shame upon him!!
 
Pole sana!!

Sindano itaingia Taratibu.Mtapona tu..

Kuna wachangiaji humu inabidi nyie wasemaji wa CDM muwajue misimamo yao.

Unapiga risasi wrong target! Watch careful your aim!!
 
hivi mwanasheria na diwani inaishi nyumba za wanaume wezako kama demu inajisikiaje mwanaume kukuoa nyumba ukae bure na kukununulia magari ya kifahari au ni vipi Msando hatukuelewi yaani nyaga anakihudumia kuliko anavyoihudumia familia yake..
 
kiongozi mwaikenda nakushukuru sana kwa ufafanuzi makini sana usio na chembe ya mashaka , unajua bhana , sisi tunaotibu wagonjwa tunafahamu ile hatua ya mwisho kabisa ya marehemu , kabla ya kukata roho !

Nimecheka sana kwa hii comment hasa statement ya mwisho
 
kiongozi mwaikenda nakushukuru sana kwa ufafanuzi makini sana usio na chembe ya mashaka , unajua bhana , sisi tunaotibu wagonjwa tunafahamu ile hatua ya mwisho kabisa ya marehemu , kabla ya kukata roho !

Mungu ambariki mwaikenda kwa kweli.

Baraza Kuu/Kamati Kuu hawana tena kazi ya kufanya kila kitu kimewekwa hapa hadharani leo.
 
Last edited by a moderator:

daaah hii kali aise.......albert atamuelewesha mteja wake maana katika mambo ya sheria kuna kufuata maelekezo ya mteja wako pia kunakumshauri mteja kuendelea na kesi ama kutoendelea nayo ila ukiwa na tamaa ya fedha lazima utaforce kesi endelee hata kama unajua mteja wako atashindwa kesi......tumpe mda wakili nguli na diwani wa chadema
 
the most worse part of it ni kwamba they are trying to brainwash others....
yaani sasa kila mtu is talking of cdm, zitto, msando lissu na the like............

halafu kama vile haitoshi wanafanya kama mashindano ya rally na hawakubali kuambiwa ukweli wanakazi ya kujaza seva tu humu jf...........tena ukichunguza kwa makin ID zao ni multiple ama ni common kwamba watu wengi wanaweza share the same id
 
Dege wote wanye akinya bata kaharisha, mbona akina Tundu lisu,mnyika,dr slaa na mboe walieleza na kujibu tuhuma kwa waandishi wa habari? Hiki chama kimepoteza uelekeo hakifai kuaminiwa na kupewa ridhaa ya kutawala, wamejaa mimburaaaaaa tu, nawasiwasi na taaluma ya heche,saanane malemo yaricko na wajingawajinga wengine wa chadema.Wamejaa chuki,ujuha na uzadiki.
 
Why are you taking it public kama wewe ni mwanachama na mbali ya hapo ni diwani hujui taratibu za chama kweli? Serena Hotel imekuwa sehemu ya mamlaka za chama hadi ujitokeze kila siku kwenye hadhara
Unaonekana mtoto kweli aisee

Mbona mashitaka ya zitto tulifahamishwa kupitia press conference ya slaa, Lissu na Mnyika? Au tatizo lako ni serena? Kesi ya Zitto ni public issue.
Pili katiba ya chadema sio siri, kwa nini baadhi ya watu hamtaki ijadiliwe hadharani, kuna nini cha kuficha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…