'Tuwe' principled sasa. Wote. Na hapa wote unajua namaanisha nani na nani. Ni hatua gani zichukuliwe na sisi ambao tunatakiwa kuwa principled?
Nafasi yangu na yako katika hili hazitofautiani. Nini kifanyike, lini, wapi na nani?
Yaani nyie CHADEMA mnakera sana siku hizi.
Why don't y'all just go away for sometime. Just take time out and disappear from the face of the earth and then come back after a month or two.
Ukomavu wa siasa ni kupingana kwa hoja siyo matusi jenga hoja.Wewe huaminiki ni kama Zitto tu, uliaminiwa na Nyaga ukamwibia mili 60 za ujenzi wa barabara kutoka dodoma road mpaka kwenye ofisi zake licha ya kukuhudumia kama mkewe bado ulishindwa kuwa mwaminifu... ni sawa na huyo zitto kasaidiwa kwenye masomo yake na mbowe na gari la kutembelea kipindi hicho leo anamtangaza kuwa ndiye adui yake..
Tumeanzia hapo kiongozi. Nasubiri maelekezo
'Tuwe' principled sasa. Wote. Na hapa wote unajua namaanisha nani na nani. Ni hatua gani zichukuliwe na sisi ambao tunatakiwa kuwa principled?
Nafasi yangu na yako katika hili hazitofautiani. Nini kifanyike, lini, wapi na nani?
Sheria ni facts na.kama hana.facts si atashindwa tu na wanasheria wenzake ndani ya chama sasa maneno ya nini enyi ndugu zangu!!!!!??????
Acheni sasa huu uwe mwanzo wa kumaliza hili zogo yeye haaminiki sawa; mnaowaamini huko ndani watamshinda kwa facts baaaasi!!!!!
Au akishindwa facts ndio na udiwani mta mpoka maaana sasa kama tuko mwituni! !!!!!
Mimi ninasumbuliwa na hili jicho moja linalotumika kuona sehemu moja kwa baadhi ya wanaojiita wanaCHADEMA.Kanuni,maadili,utaratibu sijui nini hivyo ni vichaka vya watawala dhidi ya watawaliwa!!!!!Kutaka kukaa huko as if ni postmorteum/sorcery kwa nini usiri kama manufaa ni ya chama na na nchi kwa ujumla wake???!!!!Nini siri hapa mpaka kuitisha press iwe dhambi??!!!!Mnapigania kumkomboa Mtanzania na wakati huo hamtaki apate habari ya chama chake na viongozi???!!! Retrograde agenda????!!!!!
Ndio haya mawazo ya kuwa Bunge lisiwe live yaanza hivyo kichwani kwako!!!!!
Hogwash itajukikana tu as watu wanasoma na wana akili timamu ndio maana tunataka uwazi na ukweli ili kila hatua iwe wazi kwa umma kama mnavyoomba kura kwa uwazi!!!!!!! Liache likae wazi kadri iwezekanavyo kwa manufaa ya umma kwa upana wake hii ndio transparency na ni sehemu ya demokrasia mnayohubiri!!!!!
Hivi kweli dhamira ni Watanzania hawa?????!!!!
bwana mdogo , kuwa muungwana hebu rekebisha hiyo AVATAR yako , inaleta kichefuchefu .
Mkuu,Huwezi kuanza sasa kuamrisha watu warudishe ndani mjadala wakati watu wamepotosha na kutia tuhuma hadharani ambayo ni subject of debate public kwa sasa
Hivi hicho kitivo hakitoi adhabu yoyote kwa mwanafunzi wake anayekivunjia heshima ?Msando amedhalilisha kitivo cha sheria chuo kikuu cha Dar es Salaam
Kwanza,Kama katiba ni kichaka basi nina wasiwasi kama ulistahili kuishi katika jamii iliyostaarabika maana jungle law inaweza kuwa muongozo wa kukufaa zaidi
Pili,Nilimuomba Albert atoe Muongozo juu ya hili la watu kuomba kujiuzulu baada ya kelemewa na tuhuma walizoshindwa kuzijibu na badala ya kupewa ridhaa ya kujiuzulu kama walivyoomba ikatolewa alternative way ya kuwavua uongozi kutokana na kujiridhisha kuwa hawastahili heshima walioiomba (Heshima ya kukubaliwa kuwa iandikwe kuwa 'wamejiuzulu').Je utaratibu ulikiukwa wapi hapo?Tuanzie hapo.Na hili amekwepa kulijibu
ni kwel uliyoyasema..yule si mwanasheria...kwanza ni mwanachama wa ccm..jambo lingine inakuaje kwenye kikao zito na wenzake wakubali kuwa wamekosea halafu et huku nje anakana?? Kwan sis watoto??? Na iweje badala ya kujibu tuhuma anatafuta mwanasheria na kukata rufaa? Kwan alifukuzwa uanachama??? Yaan we upewe barua kazin ya kujieleza kufanya makosa,badala ya kujib tuhuma et unakata rufaa? Utakataje rufaa wakat hujahukumiwa?? Kusimamishwa uongoz si kufukuzwa uanachama..kuna tofaut ya kusimamishwa kazi au uongoz ili kupisha uchunguzi au kujitetea na kufukuzwa kazi au uanachama...zito na wenzake wamesimamishwa na kupewa barua wajibu tuhuma na wafike mbele ya kamat kuu kujieleza,badala yake wamekata rufaa huku mwingine (mwigamba) akikimbilia kwa msajili akilia asaidiwe,hiv si kuchochea kufukuzwa uanachama??? Wanang'ang'ania nn chadema?????
Mimi ninasumbuliwa na hili jicho moja linalotumika kuona sehemu moja kwa baadhi ya wanaojiita wanaCHADEMA.
Hawa watu kwa maksudi hawataki upande wa pili usikike katika jamii na wako kutumia mbinu chafu kama hizi za character assassination kuziba watu midomo pale wanaposhindwa kubainisha makosa yanayofanyika kwa sababu hata wao wanakifanya kile kile ambacho upande wa pili unakifanya.
Kuna ubaya gani kueleza wanachama kile kinachoendelea katika shauri ambalo jamii iko na shauku kufahamu na kikubwa kabisa, hata upande wa pili ndivyo unaendelea kukifanya.
What we're witnessing now is some sort of dictatorial mentality among the so called CHADEMA leaders/members.
Mimi ninasumbuliwa na hili jicho moja linalotumika kuona sehemu moja kwa baadhi ya wanaojiita wanaCHADEMA.
Hawa watu kwa maksudi hawataki upande wa pili usikike katika jamii na wako tayari hata kutumia mbinu chafu kama hizi za character assassination kuziba watu midomo pale wanaposhindwa kubainisha makosa yanayofanyika kwa sababu hata wao wanakifanya kile kile ambacho upande wa pili unakifanya.
Kama kweli wanadhani kinachofanyika kinakigawa chama, kwa nini wao wenyewe hawaachi kutumia majukwaa ya siasa kwa mlango wa "kukijenga chama" wakati nia kuu ni kujijenga kisiasa wao wenyewe.
Kuna ubaya gani kueleza wanachama kile kinachoendelea katika shauri ambalo jamii iko na shauku kufahamu na kikubwa kabisa, hata upande wa pili ndivyo unaendelea kukifanya.
What we're witnessing now is some sort of dictatorial mentality among the so called CHADEMA leaders/members.
Ukomavu wa siasa ni kupingana kwa hoja siyo matusi jenga hoja.
Ben saanane, lmpact ya anachokifanya Albert ni kama ifuatayo.
1. Wanachama wa chadema kupata fulsa ya kujua
katiba yao
2. Kujua vizuri makosa aliyofanya zitto kama
yapo au makosa waliyofanya uongozi wa
chadema kama yapo
Na huu utakuwa mfano au fundisho zuri kwa wanachama na uongozi wa chadema kujua nin kinatakiwa. Na kitu ambacho uongozi wa chadema unatakiwa kufanya ni kuonyesha na kuwaelimisha wanachama wake alichokosea zitto kama kipo ili kutoa dhana ya uonevu. Najua ben unalijua na chama pia, hili swala kuna walioona ni sahihi uongozi ulichokifanya na pia kuna watu wanaoona uongozi umekosea.
What albert is doing is perfect kwa wanachama, wapenzi na wafuatiliaji wa siasa.
Acheni siasa za kiujanjaujanja. Aliyekubali makosa ni Kitila Mkumbo ambaye pia alikiri kuwa hawakuwa wamemfahamisha Zitto mkakati huo na ndio maana walikuwa wanaongelea option nyingine endapo "Dogo" wakimaanisha Zitto ataukataa. Na hii sio mara ya mwanzo kwani hata wakati ule wa Kafulila anaenda NCCR naye alikuwa na mpango wa kwenda kumtayarishia mazingira Zitto bila ya ridhaa yake. Zitto hajawahi kukubali kosa la mkakati wa kuliondoa genge la Mbowe madarakani ili kuboresha chama na kukisafisha CHADEMA na liability ya uongozi wa Mbowe.