Albert Msando apotoka tena

Msando nafikiri ni mtandao wa mafreemason, unakumbuka nyaga mawalla alivyowaua watu wengi sana

Mungi! dah! ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapo, hatushangai ndio jamii ile ile ya kina Lema,Msigwa na Sugu
 

Yaani we ka bwana mdogo unaidharirisha sana carrier yetu.....njaa sana wew 2015 ukiwa cdm nivurugwe mimi....nadhani mnaandaa mazingira ya chauma
 
Kaa kitako uandike vzr wewe"mngevuviwa" ndiyo nini? Bora kuwa adui wa siku moja kuliko kuwa adui wa miaka52,tunakoelekea nitakukosea heshima bure acha ni obey rules za JF......salute kwako

ona sasa kumbe hata kiswahili hujui halafu eti unataka madaraka............rudi kwenye kamusi yako kasome neno VUVIWA lina maana maana gani.

yaani kama ndo memba wa CDM hawa ambao hata pa kukosoa hawajui basi nakupa pole sana .............halafu eti unapita kushabikia CDM viroba na BOSS hivi vitawaua msipokuwa makini
 
Lakini tusimlaumu msando amepewa kazi Anapiga dili Kama wanasheria wengine Nakumbuka kwenyekesi ya Mh lema wakili wa maccm alikuwa nikaka yake na Lissu.
 

"wewe msando ni diwani wangu wa kata ya mabogini nakuomba uache kiherehere na shobo kwenye izo mambo ...njoo huku utekeleze ahadi zako....watu wamekuchoka huku toka tumekuchagua hujawai kuonekana katani....
Halafu nasikia unataka ubunge jimbo la moshi vijijini kwa taarifa yako umebuma"
by mpigakura wako
kata ya mabogini
 

mimi nimepinga na nimesema abadan they will never wash my brain....................kila nikitafuta point kwao sion zaid ya kujaza watu na pumba, visasi na hasira zisizokuwa na maana kabisa.

niko imara kama lead
 
80% ya wanasiasa wa Tanzania wamevamia hii fani!Wengi hawana sifa za kuwa wanasiasa na chanzo kikuu cha tatizo hili ni ukosefu wa ajira zinazolipa kama siasa.Narudia tena,tatizo si ajira tu,bali ni ajira inayolipa vizuri kama siasa tena kwa muda mfupi plus kutaka "umaarufu".
 

Huko ulikokimbilia kwenye vyombo vya habari ni sehemu ya rufaa? Niambie wewe unayejiita mwanasheria ni kipengele kipi katika katiba ya Chadema kinachomruhusu mtu aliyeonewa kukata rufaa kwenye vyombo vya habari?
 

Afu we msando tunakumind hapa Mabogini kudadeki toka tumekuchagua hujawai kurudi na ukirudi unaenda kwa mama ako mama mwaria Chekereni kamsalimia....
Afu unajidai unataka ubunge wa moshi vijijini safari hii ata ukigombea serikali za mitaa 2014 hupewi hata uenyekiti wa kijiji chako cha chekereni..
KUMBUKA AHADI NI DENI....
TUTAONANA 2015.
 
Kama wameshindwa, basi achana nao tu. Hii ni dunia huru, hutaki unaacha. Ukianza kulalamika, naona kama wameanza kukusafisha na wewe..... Kama bado ziko sawa basi karibu sana Gongo langu, nililotengeneza mwenywe.....


mimi nimepinga na nimesema abadan they will never wash my brain....................kila nikitafuta point kwao sion zaid ya kujaza watu na pumba, visasi na hasira zisizokuwa na maana kabisa.

niko imara kama lead
 

Zito anawachezea sana vijana!
 

Tulizana Mkuu
Akina Mnyika walikuwa wanatoa taarifa na ufafanuzi wa yaliyosemwa na kina Zitto hawakutoa mashtaka wala madai hata baada ya kikao cha Kamati kuu ilitolewa taarifa ya kuvuliwa uongozi mabwana wale na si kingine
Tukija kwa hawa mabwana wao ni as if wanajibu mashtaka kwa public ambayo haikuwepo kwenye Kamati Kuu. Halafu tofautisha mamlaka ya akina Mnyika na hao mabwana
 

NAOMBA NIKUJIBU KWENYE HIYO RANGI YA UGOLO yenye kuzungumzia udharula wa kuchukua maamuzi na haki ya kusikilizwa. Hizo hoja zingine ulizoziibua hazina mashiko na ziko kiushabiki zaidi kuliko "kweli"


a) Kujulishwa makosa yake kwa maandishi na kutakiwa kutoa majibu katika muda usiopungua wiki mbili.

b) Kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya kikao kinachohusika.

c) Mwanachama atajulishwa kwa maandishi uamuzi wa kikao mnamo wiki mbili baada ya kusikilizwa.

d) Kamati Kuu inaweza kuchukua hatua za dharura bila kuzingatia utaratibu (b), (c) hapo juu kama itaona maslahi ya Chama kwa ujumla yanaweza kuathiriwa isipokuwa mwanachama au kiongozi anayelalamikiwa atalazimika kuitwa kwenye kikao husika.


Udharula wa kipengere "d" unauwezo na mamlaka ya kuvunja vipengere "b" na "c" iliyokwenye maandishi ya bluu, lakini kipengere "a" hakijatajwa kwenye kipengere "d" kama kinaweza kuvunjwa na hicho kipengere "d". hicho kipengere "a" ndio msingi wa haki ya kusikilizwa bila kipengere "a" hiyo katiba itakuwa inatoa fursa kwa watu wenye chuki binafsi kama Lema na Msigwa kufukuza wenzao hovyo kila wanapojisikia.


Tena tukizingatia wahusika waliomba kujiuzulu lakini Tundu Lissu kwa kujifanya anajua zaidi au huenda kwa kutumika kwake bila kujua akatoa hoja ya watuhumiwa kuvuliwa nyadhifa zao, basi kuvuliwa huko kwa nyadhifa kunahesabika ni adhabu au hatua za kinidhamu ambazo kwa kutii takwa la kifungu "a" ilibidi zichukuliwe mara baada ya wahusika kupewa mashtaka yao kwa maandishi na kisha wayajibu ndani ya wiki mbili.



Zitto kasomewa mashtaka badala ya kupewa kwa maandishi, lakini mbaya zaidi kasomewa mashtaka siku moja na siku hiyohiyo kajitetea na siku hiyohiyo hukumu ikatolewa kwa wahusika kuvuliwa nyadhifa zao. Hivi kweli huu ndio utawala wa sheria? au hii ni sheria ya wapi? hii ndio demokrasia ya chama chetu cha CHADEMA.


Mbowe kama Lipumba, kwa uongozi wake shupavu ameipaisha CUF na kwa kung'ang'ania madaraka kumeishusha CUF. Maamuzi haya ya kibabe ya kamati kuu kwa vyovyote vile ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wa Mbowe kubaki madarakani kwa kumvunja mbawa mtia nia. Kutangazwa kwa ratiba na tarehe ya uchaguzi siku chache mara baada ya maamuzi haya kibabe ni kiashiria tosha cha maamuzi yale ya kamati kuu ni sehemu ya utekelezaji wa mpango wa mbowe kugombea bila kupingwa na Zitto. Sababu ni ajabu kwa Mwenyekiti na mwanademokrasia kubariki maamuzi haya ya kibabe na yenye kukiuka misingi ya kikatiba na ya haki ya kusikilizwa.


Nia njema huja sanjari na maumivu lakini nia ovu hukabiliwa kwa ustahamilivu, usishue chombo ili hali maji yajaa lakini unaweza kutengeneza kupwa kwa maji, kila jambo lina wakati wake lakini wakati unawezwa kutengenezwa pia, na kivuno cha mdudu chungu leo, kesho huenda ndio shibe yako, naomba haya Zitto Kabwe ayajue na yawe sehemu ya maisha yake.


Pole Zitto Zuberi Kabwe yote yana mungu, dunia ni hino hino, waja na ada zao ni wale wale tandu Adamu {a.s} hadi kwa Muhamad{s.a.w}, kwahivyo hayana budi kuwa midhali ungali chini ya jua. Tema mate chini ili waja waendelee kujilisha upepo kwa kudhani watashibisha matumbo yao yenye njaa ya tamaa, uchu na ung'ang'anizi wa madaraka wenye lengo la kufuta alama chafu za uongozi wao zilizochorwa kwa kalamu ya moto kwenye chuma cha pua.


Wakoloni waliwaita wapigania uhuru waahini na wachochezi, CCM inaimba wimbo kama huo wa kikoloni, lakini la ajabu baadhi ya viongozi wa CHADEMA, aidha kwakuwa watu walioshika mpini hulka zao hufanana au kigeugeu hakina mji wao, nao wameanza kuwaita wapinzani wao katika kuwania uongozi na wakosoaji wao kuwa ni wasaliti, mamluki na kubwa zaidi ni waahini kama vile CHADEMA ni dola kumbe ni chama tu cha siasa.


Njano5.
0655345394
 

mbona Dr.Slaa ali-like Zitto kuitwa MLA RUSHWA MKUBWA humu JF, mbona Rema na Msigwa wanatumia media kwa mambo yaliyoamriwa na kutolewa uamuzi na kamati kuu? Haya matamko ya CHASO lengo lake si kuathiri MAAMUZI YA KIKAO CHA KAMATI KUU KIJACHO? iweje sasa kwa Zitto iwe nongwa? Zitto kamati kuu ataijibu na rufaa ataikata lkn pia watanzania wana haki ya kujua kinachoendela ukizingatia MATAMKO YANAYOTOLEWA NA CHASO, YA AKINA MSIGWA, REMA na WENGINE, SASA MNATAKA WATU WAPATE HABARI ZA UPANDE MMOJA TU????
 

Presser ndo kitu gani mkuu? Samahani lakini.
 
Mi sikulahum hata kidogo kaka Albet Msando, sababu najua wewe ni mwema tu.

Lakini tatizo ni nyoka au joka moia lenye sumu kali linaloitwa Zitto yaani tukisahtimua hili na kuliponda kichwa amani itarudi ndani ya nyumba.

Zitto is an enemy of the people.
 
Last edited by a moderator:

hahaha unamaanisha kina Saanane na Mtella? Tatizo la ajira ni BOMU.
 

kazi uliyopewa na tiss ya kuiua chadema inaisha lini ??
 
Last edited by a moderator:
Huko ulikokimbilia kwenye vyombo vya habari ni sehemu ya rufaa? Niambie wewe unayejiita mwanasheria ni kipengele kipi katika katiba ya Chadema kinachomruhusu mtu aliyeonewa kukata rufaa kwenye vyombo vya habari?
Mkuu acha kujifanya chizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…