Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

Nilichogundua ni watz wengi hatujui vizuri sakata la zitto na cdm. Zitto hakutakiwa hata kuonekana cdm kwa kitu alichokifanya.
 
ama kweli njaa ni chaka la ujinga, huyu wakili aliyekua shujaa juzi juzi tu leo anashika meza namna hii? wamezoea kupindisha sheria ndio maana haki za wananchi zinapotea, huyu sio wakili si unaweza kumtuma chochote huyu? mawakili wa wawkina Rostam na Manji amuulize Sabas kiwango leo hii yuko wapi na anaishi vipi? atamlaumu Manji sasa baada ya kupatiwa vipajero vya 4th hand leo ni mkimbizi nchini kwake mwenyewe manji ana recrut wapya yeye na hatima yake imeishia kwa mtoto mdogo kama Manji na sasa hata uhamimu utabaki ndoto ya alfu lela ulela wakati alikua na great potential sasa anagalagala sebuleni kwa mengi kama paka, akinywa maziwa na kuchekacheka na wageni wa mengi. Ndiko anakoelekea Zitto atakapokua anakunywa maziwa Lumumba. Hakuna binadamu wazuri kama viongozi wa chadema kwa kumvumilia huyu mtoto. Leo nilikua mahali wamama watu wazima wakaanza kujadili habari ya mtoto na kushangaa aliwezaje kumtukana mtu aliyem recruit kwenye chama akiwa kibohehe hana mbele wala nyuma, akilipiwa hata school fees na kupewa hela za uniform, mtu aliyetoka kijijini ukampa hifadhi, hata katika level za familia zetu ndugu kama huyu asingevumiliwa. So long sasa msando angekushauri ili kujiheshimu hizo raha za kamati uziachie kabla hujatolewa na kuon aunaonewa wivu na kufuatwa fuatwa. wote tunajua hizo ni hongo za CCM kwa usaliti wako na juhudi za kukihujumu chama
 
Kila lenye mwanzo lina mwisho wake ambao unaweza kuja mapema sana au kuja baadaye sana.
 
Msando Marago kweli we Mama Ntilie kakupunja Ugali unakula mpaka unamaliza halafu haumconsult mama ntilie unaenda kulalamika wizara ya afya ? Does it make sense ?
 
Mwanasheria ambaye pia ni diwani kupitia CHADEMA, Ndugu Albert Msando amehoji yafuatayo;

9. Pia amesema kuwa mgogoro huu ni funzo kwa Zitto, Wanachadema na Watanzania kujua aina ya viongozi walionao.Pia amesema kuwa migogoro hii isitumike kujenga chuki.

Chanzo: Clouds TV

Mengine yote pumba-ila hili la no.9 ndiko kwenye hoja ya msingi.
 
Sitaki kuamini Wakili Msomi Albert MSANDO ..tena ambaye firm yake Inajulikana anwani zake zote ..alikuwa hajapata taarifa Za Kesi kuwepo ...natambua kuwa nje ya mahakama hawa mawakili ni marafiki Sana tu na Huwa wanapeana taarifa

- Unamshangaa Wakili wa Instagram? hahahahahahaha

Le Mutuz
 
ZZK (former mh.) anatokea mbele ya wanahabari na kusema kuwa hana taarifa za kufukuzwa kwake.
Hivi fikiria ilivyo ngumu kufanya kazi na mtu wa namna hii! Kwanza wanadai kabla ya kusimamishwa alikuwa naibu katibu mkuu lakini alikuwa na zaidi ya miaka miwili hajakanyaga makao makuu ya chama anachokiongoza. Shughuli zake nyingi hata za PAC anaziendeshea kwenye FB na Twitter nasi tunaziona na kuzikubali. Sasa inakuwaje leo habari za kufukuzwa kwake zimejaaa huko FB, Twitter na hata JF naye asizitambue wakati sisi zake tunazitambua!?
Ni kweli anataka aandikiwe barua, ifanyike 'official' appointment, ipelekwe nyumbani kwake alafu waitwe waandishi wa habari kumuonyesha akiipokea!???
 
Mwanasheria msomi ambaye pia ni diwani kupitia CHADEMA, Ndugu Albert Msando amehoji yafuatayo;
1. Amehoji je, kama CHADEMA kinasema ni Cha Kidemokrasia kwanini kinaaamuru Afukuzwe tu kwa kuwa ameenda mahakamani?
2. Amehoji je, ni nani mwenye mandate ya kumvua mwanachama uanachama wake.
3. Je, uamuzi wa kumvua uanachama ulipaswa kutangulia kwa umma au kwa Zitto kwanza?
4. Amehoji je, imekuwaje mtu anayesimamia sakata la Escrow afukuzwe kwa sasa?
5. Amesema pia kuwa Zitto hana haja ya kubaki CHADEMA kwa kuwa hata akiomba kubaki haitakuwa na mashiko. Pia ameuliza itakuwaje akae meza moja na Tundu Lissu,Wakati Tundu Lissu anatangaza amesema walishamfukuza toka mwaka jana. Naye anaona kuwa Zitto hahitajiki CHADEMA.
6. Pia amesema lengo la kumfukuza Zitto limefanywa kinafiki tu.
7. Amesema kuwa haoni haja ya kulazimisha kila mtu awaze kama Tundu Lissu au Mbowe au Slaa.
9. Pia amesema kuwa mgogoro huu ni funzo kwa Zitto, Wanachadema na Watanzania kujua aina ya viongozi walionao.Pia amesema kuwa migogoro hii isitumike kujenga chuki.
Chanzo: Clouds TV
 
Mwanasheria msomi !!!

Ni sababu zipi zilizofanya kesi ya mteja wake kutupwa?

Usomi wake uko wapi?
 
Anamaswali mazur sana lakini ndo hivyo ccm walimpenda zaid ya chadema.
 
Mwanasheria msomi ambaye pia ni diwani kupitia CHADEMA, Ndugu Albert Msando amehoji yafuatayo;
1. Amehoji je, kama CHADEMA kinasema ni Cha Kidemokrasia kwanini kinaaamuru Afukuzwe tu kwa kuwa ameenda mahakamani?
2. Amehoji je, ni nani mwenye mandate ya kumvua mwanachama uanachama wake.
3. Je, uamuzi wa kumvua uanachama ulipaswa kutangulia kwa umma au kwa Zitto kwanza?
4. Amehoji je, imekuwaje mtu anayesimamia sakata la Escrow afukuzwe kwa sasa?
5. Amesema pia kuwa Zitto hana haja ya kubaki CHADEMA kwa kuwa hata akiomba kubaki haitakuwa na mashiko. Pia ameuliza itakuwaje akae meza moja na Tundu Lissu,Wakati Tundu Lissu anatangaza amesema walishamfukuza toka mwaka jana. Naye anaona kuwa Zitto hahitajiki CHADEMA.
6. Pia amesema lengo la kumfukuza Zitto limefanywa kinafiki tu.
7. Amesema kuwa haoni haja ya kulazimisha kila mtu awaze kama Tundu Lissu au Mbowe au Slaa.
9. Pia amesema kuwa mgogoro huu ni funzo kwa Zitto, Wanachadema na Watanzania kujua aina ya viongozi walionao.Pia amesema kuwa migogoro hii isitumike kujenga chuki.
Chanzo: Clouds TV
HAYA KAMA KAWA KIKOSI CHA WAPUMBAVU NJOONI MJIBU HOJA HAPO JUU SIO MITUSI.
Daaaah! kuongoza mazwazwa ni kazi nyepesi kweli tazama mizwazwa ya chadema hata haina muda wa kutafakari hoja ni mitusi tu.
‪#‎NaBado‬ David Maphone KatiKa ubora wake......

Sema unataka usaidiweje? Maana inaonekana unarudia yaliyokwisha andikwa hapa JF! Sorry, tafuta topic nyingine ili siku yako iwe imara kwa kipato!
 
CHADEMA ni chaka la watekaji na watesaji: Khalid Kagenzi
 
nauliza tu kishamba, si Msando naye alienda mahakamani? afukuzwe ud1?
 
Mwanasheria msomi ambaye pia ni diwani kupitia CHADEMA, Ndugu Albert Msando amehoji yafuatayo;
1. Amehoji je, kama CHADEMA kinasema ni Cha Kidemokrasia kwanini kinaaamuru Afukuzwe tu kwa kuwa ameenda mahakamani?
2. Amehoji je, ni nani mwenye mandate ya kumvua mwanachama uanachama wake.
3. Je, uamuzi wa kumvua uanachama ulipaswa kutangulia kwa umma au kwa Zitto kwanza?
4. Amehoji je, imekuwaje mtu anayesimamia sakata la Escrow afukuzwe kwa sasa?
5. Amesema pia kuwa Zitto hana haja ya kubaki CHADEMA kwa kuwa hata akiomba kubaki haitakuwa na mashiko. Pia ameuliza itakuwaje akae meza moja na Tundu Lissu,Wakati Tundu Lissu anatangaza amesema walishamfukuza toka mwaka jana. Naye anaona kuwa Zitto hahitajiki CHADEMA.
6. Pia amesema lengo la kumfukuza Zitto limefanywa kinafiki tu.
7. Amesema kuwa haoni haja ya kulazimisha kila mtu awaze kama Tundu Lissu au Mbowe au Slaa.
9. Pia amesema kuwa mgogoro huu ni funzo kwa Zitto, Wanachadema na Watanzania kujua aina ya viongozi walionao.Pia amesema kuwa migogoro hii isitumike kujenga chuki.
Chanzo: Clouds TV
HAYA KAMA KAWA KIKOSI CHA WAPUMBAVU NJOONI MJIBU HOJA HAPO JUU SIO MITUSI.
Daaaah! kuongoza mazwazwa ni kazi nyepesi kweli tazama mizwazwa ya chadema hata haina muda wa kutafakari hoja ni mitusi tu.
‪#‎NaBado‬ David Maphone KatiKa ubora wake......

Sasa hapo sijui ni nani zwazwa kama sio wewe au mwanasheria wako moja umeanza na kutukana et zwazwa pili umewabana chadema ila vyama vingine ni ruksa kutukana sijui mjadili nini wakati katiba zitto anaijua na ngazi za jufuata kutafuta haki yake over.
 
Mwanasheria msomi ambaye pia ni diwani kupitia CHADEMA, Ndugu Albert Msando amehoji yafuatayo;
1. Amehoji je, kama CHADEMA kinasema ni Cha Kidemokrasia kwanini kinaaamuru Afukuzwe tu kwa kuwa ameenda mahakamani?
2. Amehoji je, ni nani mwenye mandate ya kumvua mwanachama uanachama wake.
3. Je, uamuzi wa kumvua uanachama ulipaswa kutangulia kwa umma au kwa Zitto kwanza?
4. Amehoji je, imekuwaje mtu anayesimamia sakata la Escrow afukuzwe kwa sasa?
5. Amesema pia kuwa Zitto hana haja ya kubaki CHADEMA kwa kuwa hata akiomba kubaki haitakuwa na mashiko. Pia ameuliza itakuwaje akae meza moja na Tundu Lissu,Wakati Tundu Lissu anatangaza amesema walishamfukuza toka mwaka jana. Naye anaona kuwa Zitto hahitajiki CHADEMA.
6. Pia amesema lengo la kumfukuza Zitto limefanywa kinafiki tu.
7. Amesema kuwa haoni haja ya kulazimisha kila mtu awaze kama Tundu Lissu au Mbowe au Slaa.
9. Pia amesema kuwa mgogoro huu ni funzo kwa Zitto, Wanachadema na Watanzania kujua aina ya viongozi walionao.Pia amesema kuwa migogoro hii isitumike kujenga chuki.
Chanzo: Clouds TV
HAYA KAMA KAWA KIKOSI CHA WAPUMBAVU NJOONI MJIBU HOJA HAPO JUU SIO MITUSI.
Daaaah! kuongoza mazwazwa ni kazi nyepesi kweli tazama mizwazwa ya chadema hata haina muda wa kutafakari hoja ni mitusi tu.
‪#‎NaBado‬ David Maphone KatiKa ubora wake......

Swali rahisi kwako;
Je wajua madai ya CHADEMA dhidi ya Zitto ?
 
Last edited by a moderator:
Majibu ya maswali yote hayo yalishapatiwa majibu humu humu JF. Kwa kukumbusha tu:
1/Katiba ya CHADEMA ndio inayotamka wazi kuwa Zitto Kabwe amejivua uanachama baada ya kukishtaki chama mahakamani.

2/KATIBA ya CHADEMA ndio yenye mandate ya kumvua mtu uanachama na sio mtu au kikao.

3/Ni Zitto mwenyewe ndio aliyejivua uanachama(Baada ya kukishtaki chama mahakamani), CHADEMA ilikuwa inautaarifu tu umma ili Umma utambue kuepusha ujinga wa kutokujulishwa. Kumbuka tunaposema umma tunamaanisha watu wote, yaani Zitto, mimi, wewe, serikali, bunge, CCM, nk.

4/Hakuna uhusiano wowote kati ya vipengele vya katiba ya CHADEMA vinavyomvua Zitto uanachama na sakata la Escrow kwa sababu vipengele hivyo vimekuwepo miaka mingi sana kabla ya sakata la ESCROW kuibuliwa kwa kasi
mwaka jana.

*Maswali yako manne tu (Namba 1,2,3 na 4) na majibu yake ndio hayo hapo juu, mengine(Namba 5,6,7 na 9) ni mawazo na maoni binafsi ya Albert Kisandu. Kumbuka pia mawakili wote ni wasomi na hakuna wakili ambaye sio msomi.
 
Mwanasheria msomi ambaye pia ni diwani kupitia CHADEMA, Ndugu Albert Msando amehoji yafuatayo;
1. Amehoji je, kama CHADEMA kinasema ni Cha Kidemokrasia kwanini kinaaamuru Afukuzwe tu kwa kuwa ameenda mahakamani?
2. Amehoji je, ni nani mwenye mandate ya kumvua mwanachama uanachama wake.
3. Je, uamuzi wa kumvua uanachama ulipaswa kutangulia kwa umma au kwa Zitto kwanza?
4. Amehoji je, imekuwaje mtu anayesimamia sakata la Escrow afukuzwe kwa sasa?
5. Amesema pia kuwa Zitto hana haja ya kubaki CHADEMA kwa kuwa hata akiomba kubaki haitakuwa na mashiko. Pia ameuliza itakuwaje akae meza moja na Tundu Lissu,Wakati Tundu Lissu anatangaza amesema walishamfukuza toka mwaka jana. Naye anaona kuwa Zitto hahitajiki CHADEMA.
6. Pia amesema lengo la kumfukuza Zitto limefanywa kinafiki tu.
7. Amesema kuwa haoni haja ya kulazimisha kila mtu awaze kama Tundu Lissu au Mbowe au Slaa.
9. Pia amesema kuwa mgogoro huu ni funzo kwa Zitto, Wanachadema na Watanzania kujua aina ya viongozi walionao.Pia amesema kuwa migogoro hii isitumike kujenga chuki.
Chanzo: Clouds TV
HAYA KAMA KAWA KIKOSI CHA WAPUMBAVU NJOONI MJIBU HOJA HAPO JUU SIO MITUSI.
Daaaah! kuongoza mazwazwa ni kazi nyepesi kweli tazama mizwazwa ya chadema hata haina muda wa kutafakari hoja ni mitusi tu.
‪#‎NaBado‬ David Maphone KatiKa ubora wake......

Tofautisha basi maoni na maswali ujibiwe?
 
Back
Top Bottom