Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

Leo katiba ya chadema inaonekana halali kwa zito,ila hao hao viongozi wachadema Mara nyingi hawataki na wanavunja sheria halali za nchi,uchochezi nk,ningekua waziri wa mambo ya ndani nimuda muafaka kusimamia sheria za nchi

utapasuka msamba kaka,achana na cdm chama kubwa.
 
Wakili uchwara Mkuu, Wakili wa kweli anayeijua sheria nje ndani hawezi kuongea pumba kiasi hiki.

Mbona huyo wakili wake ana akili ndogo sana,anauliza maswali ambayo hata nape nauye na makoonda hawawezi kuyauliza....
 
Na nyie mburura mnaoshabikia katiba mbovu kama hiyo isiyoruhusu mtu akiburuzwa na Chadema asiende mahakamani kutafuta haki yake ni magaggafu sijwahi ona. Hivi hamuoni kuwa hiyo katiba inabeba wateule wa Mtei amabao hata iwe nmna gani vipi hawakosei. Walipovunja katiba kwa kujiongezea muda wa kuwatawala mburura nyie mkauUFYATA mburura wa Bavicha. Sasa badala ya kudai kuwa hicho kipengere kuwa kinavunja hata katiba ya Nchi inayompa ntu Uhuru mtu wa kwenda mahakamani nyie mnakenua meno kishabaiki pupuya. Nyie vipi; inanipa shida sana kujua akili mbofu mbofu hizi mnarithi wapi. JITAMBUE la sivyo mtaburuzwa siku zote kwa kufwanywa maZEZETA wa waleeeeeeeeeeeeeee kule juu mlimani. The con men are taking your shagarabaghara brsin poor you Bavicha. A con artist, also known as a crook, swindler, or scammer, is a person who tricks someone out anything. He/she establishes trust with the victim and uses the ability to read people and a good sense of timing to carry the schemes through. Many have specific modes of operation, although they operate across a wide array of scam types and tend to be hard to pick out of a crowd. These criminals often come into their work because of fiscal hardship, seeing others model the behavior, or because of various psychological needs. KALAGABAO na wajinga ndio waliwao. Keep going Zitto

Kama unaona CDM ina katiba mbovu si muende kwenye katiba nzuri tena ni hiari,kuna vyama kibao CCM,UDP,TLP,DP nk.kwanini mnang'ang'ania CDM? Acheni kujitoa ufahamu nyie mamluki mipango yenu imefeli mmebaki kutapatapa
 
Huyu naye hovyo kabisa , alifanya ufyoko kuhusu utaratibu wa kufungua hiyo kesi.
Kesi imetupiliwa mbali mavi yanamgonga chupi , arudi darasani akajifunze tena utaratibu wa kimahakama.
 
Huyo msando Alberto asijitie umajinuni hiyo ndo katiba iliyomweka mabogini kama alijua sio ya kidemokrasia angeenda TLP mshamba sana huyo kama vipi aende nae ACT hatutaki virusi chadema

Kwa kasi hii kila anayefikiri tofauti ni msaliti mtafukuza wengi.
 
Last edited by a moderator:
Swala la zzk limewaamisha wengi ktk fikra et? jamani zitto ni yuleyule habadiliki
 
Kama unaona CDM ina katiba mbovu si muende kwenye katiba nzuri tena ni hiari,kuna vyama kibao CCM,UDP,TLP,DP nk.kwanini mnang'ang'ania CDM? Acheni kujitoa ufahamu nyie mamluki mipango yenu imefeli mmebaki kutapatapa

Hivyo vingine tunaviona ila mpaka tuhakikishe Chadema inasagika na kubaki vipandevipande.
 
Nn maana ya demokrasia?kma swala haljapatikana muafaka ndan ya chama hachukue hatua gan?katiba ya chama ni ya kidikteta nafkria inapnga wanachama kwenda mahakaman il iwakandamize kwa maslai ya wachache.shame chadema
Lakini kumbuka kwamba kila chama kina katiba yake, ambayo kila mwanachama lazima airidhie kupitia mkutano mkuu. Kama Zitto ameikiuka hio katiba kama alivyokiuka katiba ya CCM ndg, Mansoor Himid, lazima apigwe tu.. Hakuna jinsi.
 
Hivyo vingine tunaviona ila mpaka tuhakikishe Chadema inasagika na kubaki vipandevipande.

Mkuu upinzani walikwepo Kina lamwai, kaburu, mrema, cheyo, ngawaia na wengineo na wameondoka seuse huyu bwana Mdogo na apite tu its just like version
 
Back
Top Bottom