Kama haya maswali yameongelewa na wakili msomi, na ikawa bahati mbaya alikuwa wakili wa Zitto, hapa lazima tu Zitto angepoteza kesi.
Wakati wanaamua kwenda mahakamani, hawakujua wanacheza kamari na kipengele cha katiba? Hiyo katiba leo inaonekana onevu na viongozi wanaonekana hawafai. Wakati inaandikwa Zito hakuwa kiongozi? Alipopitisha hicho kipengele alikuwa naibu katibu mkuu, leo kimemhukumu, anaanza kukimbia kivuli chake.
Zito amekuwa akiyumbishwa a mawazo ya watu wasiokuwa na maono sahihi na wasijali hatma yake. u
Mmeshahoji kwa ni ni Zito alianzisha ACT akiwa ndani ya CHADEMA? Halafu bado mnawalazimisha CHADEMA wamuone ni mwanachama mwadilifu na mwaminifu kwa chama chao?
Double Standards hapana. Acheni kabisa!.
BTW, huyo mheshimiwa msomi, anapaswa kuelewa kwamba Chadema ni Democrasia pevu na si "utawala holela kama anavyotaka kulazimisha".
Mchana mwama.

Kama kweli ZZK anahusika na ACT ni wazi kuna tatizo, huwezi kuanzisha taasisi ndani ya taasisi nyingine tena kwa siri.
Wanaolifahamu hili na kulielewa wanajua kuwa huwezi kukaa na mwanachama wa namna hii. Ndio maana Mh. Kafulila alivyotofautiana na chama chake 'hakufungua ofisi' FB/Twitter bali aliomba msamaha na akasemehewa na sasa anajenga taifa.
Alafu kama huyu wakili kayaongelea haya kwenye hiyo radio ni wazi lao ni moja!