cardiologue
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 351
- 90
Mwanasheria huyuhuyu feki si ndo anasimamia kesi ya mwenyekiti kule Hai au? Akiwa Hai jembe, akiwa kwa zzk zunde duuuh.Mwanasheria feki huyu. Mh tundu ametoa kwenye katiba ya CHADEMA hakutunga yeye yakwambaaa mwana CHADEMA yeyote atakae shitaki mahakaman moja kwa moja atakua amejivua uanachama so huyu mwanasheria Alienda shule kafanya nn? Da!