Albadir iliyosomwa Tanga

Albadir iliyosomwa Tanga

...[HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] jr kumbe ...[HASHTAG]#cocochanel[/HASHTAG] ni goma lako sikujua hilo hehehe

Ova

Embu jione kwanza
Eeeeh
Leo ulimuona RC alivyotokeleza na yaliyojiri najua ulisikiliza mwanzoni hadi mwishoni

Sema oyeeeee
 
Inasemekana ndio albadir mbaya zaidi kuwahi kusomwa, maana madhara yake yalikumba hata wasiohusika. Ilisomwa kwa niaba ya Mzee mmoja wa kidigo baada ya kuchoka kuibiwa nazi zake na vijana wa Tanga mjini, na alifikia maamuzi hayo baada ya kutoa onyo na tahadhari!

Albadir ile ilikausha majani ya njia walimopita wezi, visu vilivyotumika vilikatikakatika, punda aliyebeba alikufa, gari ya punda ikiharibika vibaya, wezi wote walikufa wameachama huku nguo za siku ya tukio zikiwa kama zimemwagiwa tindikali, miili yao ilioza kwa kasi ya ajabu hata kabla ya kuzikwa, yeyote alinunua ama kuhusika na zile nazi alipata madhara ya ugonjwa na kifo.....

Inasemekana makaburi ya wale wezi vijana wane, hayakuota majani kwa miaka mingi. Tukio la kushambuliwa TL liliwaumiza na kuwasononesha watu wengi, ndani na nje ya nchi.. Wengi walilichukulia kama uonevu mkubwa

Kitu hicho kikapelekea kuja na wazo la kusoma kisomo cha albadir kwakuwa kulikuwa na hisia kwamba haki haitatendeka...
Visomo husika vilisomwa japo si kwa mafanikio sana kwakuwa zilitumika nguvu kubwa sana kuvizuia lakini vilisomwa kwa siri kwenye baadhi ya maeneo...

Lakini hata kama visingesomwa ile hali tu ya kusononeka kwa watu wengi kwa pamoja na kutajataja visomo, kiroho hali hiyo ilileta athari kwa wahusika (hapa nitapingwa na baadhi ya watu)

Baada ya hapo yameanza kutokea mambo ambayo ukiyatazama kwa jicho la kiroho kisha ukaunganisha dots ni kama vile kuna uhalisia unaoshabihiana na visomo vilivyosomwa....

Athari za visomo vya albadir wakati mwingine si lazima afe mtu, bali hata kuchanganyikiwa na kuharibikiwa kwa mambo pia yaweza kuwa ni matokeo ya kisomo

Visomo vimepingwa na kukosolewa kwa maelezo marefu mengine yakiwa hayaeleweki lakini asikudanganye mtu kisomo ni kisomo tuu. Usijaribu kabisa kukidharau

Jerry Muro kijana aliyechipukia kwenye uandishi wa habari hata kufikia kupata tuzo, ni muwewesekaji namba moja.. Achana na yaliyowahi kumkuta huko nyuma bado alikuwa anaweza kuandika hoja na ikaeleweka....

Lakini sasa inafika mahali unamuonea imani... Haeleweki anaandika nini na kila anachoandika kinakuwa na mapungufu mengi kuliko ya goma langu cocochanel

Najiuliza Jerry anayejivunia kupata degree moja nchi tatu tofauti ana nini na CHADEMA? Ana nini na TL!? Ana nini na akina Nasari na Lema? Ni kisomo kimempata ama kuna asili yenye mizizi mirefu iliyokuja kuzaa chuki kubwa namna hii? Je kuna wakati pengine alitaka kuingia CHADEMA na kutegemea apate nafasi halafu akakosa?

Vyovyote iwavyo Jerry ni mhanga mkubwa wa yanayotokea sasa na yamemjeruhi kwa namna ya kipekee kabisa na ni katikati ya kiwewe hicho anakaribia kuwehuka kabisa na kuropoka hata ambayo hakupaswa kuyasema... Kuna faida katika kuweweseka kwake!

Kuna faida kwenye kuropoka kwake! Anatufunulia mengi ambayo tungetumia muda mwingi na nguvu pia kuyajua. Ni wakati wetu sasa tuvute viti, tukae kimya tuli kabisa tutege masikio, wanaoweweseka wanazidi kuongezeka... Visomo haviendagi bure
Hata mimi nilijiuliza ilikuwaje yeye kuwa record traffic wakipokea rushwa ati leo anataka akina lena wapotezwe!
1.Je umesahau ulivyoponea chupuchupu kushikishwa Rushwa na kukamatwa na pingu?
 
Nakutazama kwa hilo hilo jicho la kiroho...wewe unajua unaandika nini? Unaandika ukabila na uchama. Kulikoni kuwajaribu tena wale watu wa mitaa yenu bora tuudishe mitaa ya Pwani. Maana mambo yote mtayapeleka kwa kina chedi tu...mpaka makao makuu mtahamishia huko. Tusidanganyane...kuna mtu akitangulia mbele eti anaongoza, muogope kama ukoma...nahisi kwa jicho langu la kiroho mtu huyo ndio anayewachambua wenzake kama na yeye ni mtu swaaafi
 
Wanazarau mnoo hao miungu watu.. power ndoo kila kitu kwao... Ila damu ya Lissu ni nuksi nawambieni.. Kila aliye kuwa affiliated kutaka kum uwa.. Hakika hayuko salama kwa namna yoyote ile!!!

Just hold on!
 
Nakutazama kwa hilo hilo jicho la kiroho...wewe unajua unaandika nini? Unaandika ukabila na uchama. Kulikoni kuwajaribu tena wale watu wa mitaa yenu bora tuudishe mitaa ya Pwani. Maana mambo yote mtayapeleka kwa kina chedi tu...mpaka makao makuu mtahamishia huko. Tusidanganyane...kuna mtu akitangulia mbele eti anaongoza, muogope kama ukoma...nahisi kwa jicho langu la kiroho mtu huyo ndio anayewachambua wenzake kama na yeye ni mtu swaaafi
Mtu akifa wala hawezi kujua kama kafa vilevile na mtu anapokuwa mpumbavu
 
Hivi bado tunaamini vitu vya kusadikika? Poor Africans. Sishangai mtu kufa kwa kupuliziwa unga sehemu za siri kwa pamp sababu ya iman za kijinga kama hizi.
Kama ingekuwa inafanya kazi waliyomsomea Trump ingeshatimiza lengo hilo
 
IMG-20171004-WA0056.jpg
 
Jerry Murro hana tatizo lolote wewe ni mhanga wa anayosema umekuja kujifariji hapa sio kila mtu utamdanganya
 
Sina imani na mwakilishi Bungeni.
Maelezo haya ni ya kisiasa na kimhemko zaidi.
 
Waliostaarabika vitu hivi kwao havina nafasi kabisa.
Tutafika tukiwa tumechoka sana.
 
Kuna jamaa waliiba computer mpakato chuoni kwetu, zikiwa Mali za Mdigo mmoja hivi! Yule jamaa akatoa matamko ya tahadhari, watu wakapuuza kama baadhi humu. Kilichofuata, kuna vijana wa3 wakawehuka na kila watembeapo wanatoa sauti kama mf wa computer inaboot!
 
miss u
 
Back
Top Bottom