Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 2,546
- 2,989
Nimesoma bibilia ya agano la kale mwanzo:2:15 mungu anamlaani nyoka kwa matendo yake na alijua kuwa ni mwerevu kuliko wanyama wote hivyo naweza kuchukulia maana hyo kwenye kutambua alama ya nyoka kuwa ni mdudu mwenye sumu kali na ukitaka kumuua tafuta kichwa.
Je swali langu nyuka amepewa sifa mbaya na vitabu vya dini na huashiria kitu gani kwenye mataifa kupitia noti?
Je swali langu nyuka amepewa sifa mbaya na vitabu vya dini na huashiria kitu gani kwenye mataifa kupitia noti?