Alama mpya za ufaulu zapingwa

Alama mpya za ufaulu zapingwa

Siku zote tunapoingiza siasa kwa mambo ambayo si ya kisiasa tunaharibu saaaaaaana. Viongozi wetu wengi hawako committed na kazi zao. Big result kamwe haiwezekani kwa kuwa hatukujiandaa ktk sekta mbalimbali ikiwepo ya elimu kupata hizo big results. Hatuwez pata big results from no where. Sekta ya elimu ni moja ya zilizosahauliwa ktk nchi yetu.bajeti finyu.walimu hawatimiziwi maslahi yao.shule hazina vifaaa vya kutosha. Bila kutatua mambo haya hata tukishisha A ikaanzia 50% bado failure watakuwa kama bahari. Tuanzie kwenye mizizi ya matatizo kwwnza ilo kuweza kupata hizo big results
 
Nadhani kwa wale ambao walikuwa hawaelewi dhana ya Big Result Now somo sasa limeeleweka.Jambo hili lingeanzia Dodoma Bungeni wala tusineshangaa sana maana ni wanasiasa na wengi ni vilaza.Lakini kwa mastaajabu limeletwa na Professor aliyeaminika kuwa na weledi mpana katika Elimu.Nadhani hii ni siasa kuelekea 2014-2015,na hakika mchezo wao ni mauti kwa Taifa!

Le profeseri anatuzamisha live
 
lakini nchi za wenzetu hata watoto wa nursery anajua b plus inaanzia ngap

Kwa hiyo nchi za wenzetu wana classification za kuongeza ukubwa wa goal post kama yetu?

Angalia za High Schools US

A----90-100%

B----80-89%

C----70-79%

D----60-69% (still a pass)

F----0-59% (failure)

US pia wana mfumo tofauti kwa honour students; siyo kama Tanzania inavyofanya. Hounour students grading zao ni:

A----93-100%

B----85-92%

C----77-84%

D----70-76%

F----69% and below

Ukitafuta GPA kwa US

A----4

B----3

C----2

D----1

F----0

Ingawa shule nyingine uongeza .33 kwa grade iliyo ya juu na kutoa .33 kwa grade ya chini.

Cheki grading za Scotland kwa sekondari

A----70% and above (excellent)

B----60-69% (very good)

C----50-59% (improvement needed)

D---45-49% (close fail)

F----below 45% (fail/no award)

Cheki za England kwa A-level

A----80% and above

B----70-79%

C----60-69%

D----50-59%

F----below 49%

Hizi ni za bondeni

A----80% and above

B----70-79%

C----60-69%

D----50-59%

E----40-49%

F----35-39%

FF---- 30 - 34%

G----20 - 29%

H----10 - 19%

I----0 - 9%

Lakini kuanzia E hadi I ni mbwembwe tu kwani wameweka madaraja ya ufaulu kwa mitihani ya mwisho ni:

Normal pass----50-59%

Pass with merit----60-79%

Distinction----80% and above

Sasa fananisha na uharo ulioletwa na wizara iliyochini ya wasomi (Dr. Kawambwa, Prof. Mchome, Prof. Temu, Prof. Balalusesa, Prof. Mbenda)
 
Mkuu tunashukuru kwa comparative analysis. Lakini nisichokubaliana na watu ni kusema madaraja mapya yanafaulisha. Wanaacha fact kwamba pia inaweza kutungwa mitihani yenye viwango vinavyoendena na madaraja hayo.

By th way mitihani ya mwisho bado sio kipimo kizuri cha kung'amua mwanafunzi mwenye uwezo wa akili, is the only method tunayoitumia kw sababu bado hatuna njia muafaka

Lakini wenzetu wana continuous assessment, hawategemei mitihani ya mwisho tuu.

Siku hizi shule za private ukipeleka mtoto, wanampa A, masomo yote, lakini ukimkalisha na watoto wa shule kama za seminary anabakia anatoa macho.
 
ipogolo mkuu mabadiliko yote yaliyofanyika ni mazuri sema watu hawajaelewa. Na ofcoz panakuwa na standard ambazo zinawachuja watoto wenye uwezo na wanajulikana mapema

unachokiongea hukijui hakuna shule itauopeleka CA ndogo kuepuka aibu... ivi unajua kwamba mwanafunzi mwenye CA ya 40 final akipata tu 2/60 tayar ana C.
 
unachokiongea hukijui hakuna shule itauopeleka CA ndogo kuepuka aibu... ivi unajua kwamba mwanafunzi mwenye CA ya 40 final akipata tu 2/60 tayar ana C.

Hahaha mkuu, unaniangusha CA ni za mtihan wa form two, na mock examinations babu
 
Kuna taifa la wabeba zege linakuja. Kama mzazi huna uwezo wa kumpeleka mwanao shule za binafsi au nje ya nchi basi hesabu nae ataangukia pua kama serikali yake inavyotaka.
 
kwanini hili lisiingizwe kwenye maajabu ya Tanzania watu wakaja wakaona wakalipia kivutio hiki kipya cha utalii.
Tuwaombe wizara waweke fees ndogo kwa watalii wa ndani na kubwa kiasi kwa wa nje watakaotaka kujua jinsi mfumo huu unavyostajabisha

naomba kujua katika maajabu haya, A, B, C, D, E, F kila moja inatakuwa na alama ngapi
 
Lakini nisichokubaliana na watu ni kusema madaraja mapya yanafaulisha. Wanaacha fact kwamba pia inaweza kutungwa mitihani yenye viwango vinavyoendena na madaraja hayo.

Hapa suala ni madaraja kupewa alama ambazo ni za chini mno katika dunia hii ya utandawazi na ushindani. Ndiyo maana nimekuonyesha mifano ya nchi nyingine.

Madaraja hayo kuwa chini ni sawa na kusema wizara inataka 'kuwafaulisha' wanafunzi. Hivi kweli kusema mwanafunzi mwenye alama 19 na chini ya hiyo, kapata ufaulu usioridhisha, siyo 'kumfaulisha' aliyefeli hapo?

Kutunga mitihani itakayoendana na madaraja hayo ndiyo nini sasa? Kwa hiyo mitihani itatungwa ili atakayepata alama 19 na chini aonekane amefaulu pasipokuridhisha?

By th way mitihani ya mwisho bado sio kipimo kizuri cha kung'amua mwanafunzi mwenye uwezo wa akili, is the only method tunayoitumia kw sababu bado hatuna njia muafaka
Lakini wenzetu wana continuous assessment, hawategemei mitihani ya mwisho tuu.

Kwa walichofanya wizara ni kutuaminisha mitihani ya mwisho ni kipimo!!

Utapata CA kama hakuna walimu, vitabu, maabara na miundomsingi yote ya muhimu mashuleni? Ndiyo maana Ndalichako akasema kwa Tanzania na hali ilivyo sasa kupata CA ni danganya toto.

Mfumo uliokuwepo awali ulikuwa mzuri (ingawa haukuwa exceptional). Kinachotakiwa ni kuboresha miundomsingi ya elimu na mashuleni.

Ingawa kwa upande mwingine, kinachotakiwa ni serikali ya CCM kukaa pembeni, na kupisha wengine. Kwani katika miaka 50+ serikali za CCM hazijaweza kuja na mfumo wa kudumu ulio bora katika kuifanya elimu ya TZ kuwa bora.

Siku hizi shule za private ukipeleka mtoto, wanampa A, masomo yote, lakini ukimkalisha na watoto wa shule kama za seminary anabakia anatoa macho.

Chifu, tatizo ni mfumo wetu wa elimu. Hayo ya private na seminary schools ni mbwembwe tu.
 
JJ Mnyika alikuwa sahihi sana... tumefika hapa kutokana ana udhaifu wa JK
 
Kama div 0 manake ni kuwa mtu kapata alama 0 masomo yote kwa nini tusifute na div 1 ambayo manake ni kuwa kamata alama 1
 
Mwalimu Charles Mkwidu ambaye ni mratibu wa Kituo cha Elimu ya Watu Wazima, alisema mpango huo ni mzuri ila uwekewe mkakati wa kuwasaidia wanafunzi kupenda kusoma, hasa masomo ya sayansi kwani wengi husoma wakati wa mitihani tu.
Naye mwanafunzi anayerudia mitihani, aliyeathiriwa na matokeo ya mwaka jana, Jesca Charles, alisema huenda ikawasaidia au la kwa kuwa mitaala ya elimu ndiyo iliyowaponza hadi wakafeli.

Hivi kuna uhusiano wowote ule kati ya kupend akusoma masomo ya sayansi na kushushwa kwa alama za kufaulu masomo na kushushwa hadhi ya madaraja?....lini tutajifunza tofauti ya matokeo dhidi ya kinachosababisha?
 
binafsi sioni shida kuanzishwa daraja la tano, kinachonipa shida ni huu mpangilio wa alama, eti 25-31 ni division three!!!

huku ni kuua kabisa elimu ya tanzania. Baba V alisema kwa sasa anawaandalia pesa wanae coz elimu imeshakufa. me namuunga mkono na mimi ngoja niwatafutie pesa wanangu na kuwafundisha ujasiriamali na sio upuuzi huu unaoitwa elimu
 
Naye mwalimu wa vituo vya elimu ya Taasisi ya Watu Wazima, Stanslaus Sekuru, alisema kuwa mfumo huo utaboresha elimu kwa sababu hapo awali wanafunzi walikuwa wakiumia sana.
Alitolea mfano daraja la nne akisema mwanafunzi anakuwa na alama 26, lakini akiwa na alama C tatu anashindwa kuendelea na kidato cha tano na mwenye daraja la tatu mwenye alama 25 na C tatu yeye anapewa nafasi ya kuendelea.

Kuna uhusiano upi kati ya kuumia kwa mwanafunzi na kushushwa kwa madaraja na maksi kama siyo kushindwa kwa mlinganishaji kutofautisha sababu ya tatizo na matokeo ya tatizo.......causes and effects?? Mwanafunzi anaumia kama ni mbumbumbu lakini kama anaufahamu ataumizwa na na nini?
 
Kwa hiyo nchi za wenzetu wana classification za kuongeza ukubwa wa goal post kama yetu?

Angalia za High Schools US

A----90-100%

B----80-89%

C----70-79%

D----60-69% (still a pass)

F----0-59% (failure)

US pia wana mfumo tofauti kwa honour students; siyo kama Tanzania inavyofanya. Hounour students grading zao ni:

A----93-100%

B----85-92%

C----77-84%

D----70-76%

F----69% and below

Ukitafuta GPA kwa US

A----4

B----3

C----2

D----1

F----0

Ingawa shule nyingine uongeza .33 kwa grade iliyo ya juu na kutoa .33 kwa grade ya chini.

Cheki grading za Scotland kwa sekondari

A----70% and above (excellent)

B----60-69% (very good)

C----50-59% (improvement needed)

D---45-49% (close fail)

F----below 45% (fail/no award)

Cheki za England kwa A-level

A----80% and above

B----70-79%

C----60-69%

D----50-59%

F----below 49%

Hizi ni za bondeni

A----80% and above

B----70-79%

C----60-69%

D----50-59%

E----40-49%

F----35-39%

FF---- 30 - 34%

G----20 - 29%

H----10 - 19%

I----0 - 9%

Lakini kuanzia E hadi I ni mbwembwe tu kwani wameweka madaraja ya ufaulu kwa mitihani ya mwisho ni:

Normal pass----50-59%

Pass with merit----60-79%

Distinction----80% and above

Sasa fananisha na uharo ulioletwa na wizara iliyochini ya wasomi (Dr. Kawambwa, Prof. Mchome, Prof. Temu, Prof. Balalusesa, Prof. Mbenda)
Hii nondo kaka nimekukubali. Ingefaa ingeandaliwa Forum nyingine au mdahalo wa wazi ili wenye nondo kama hizi wazimwage ili hiyo system iliyoanzishwa iwe revisited and modified
 
Kiukweli mimi naona watoto walibebeshwa mizigo ya wazazi wao bila sababu.Hawakuchagua serikali iliyopo madarakani bali ni sisi wazazi tulioichagua,kosa ni letu watoto wanavuna mabua?
Mi naona hata hao waliohujumiwa kwamba wanapata zero nasema ni hujuma.Je shuleni hata kufagia hawakufauru? hata kuishi vizuri na wenzao miaka 4 hawakufauru? Naunga mkono wapewe hilo daraja la tano,angalau litawaruhusu kuajiliwa kufuga kuku chini ya uangalizi.
Maana yangu ni hii hapa,mjadala wa mitaala ulijadiliwa bungeni,ukaishia ulivyoishia huku wapinzani wakizomewa
sisi wazazi tulifanya nini? kwa nini hatukuungana na wapinzani kuishinikiza serikali kubadili mfumo?
Kwa nini msalaba wetu wabebe watoto wetu ambao hata umri wa kupiga kura hawajafikisha?
Ukienda vijijini wako wazazi wanaofurahia watoto kufail ili wawasaidie kulima na kufuga.Mi naona wapewe hata hilo daraja
la tano angalau liwatie moyo wa kupiga umande miaka 4 huku wakihujumiwa na serikali inayosaidiana na wazazi.
 
Huyo Sifuni mchome ni product ya UDSM, kasoma degree and masters hapo hapo (law) akaenda marekani for phD. Na amewahi kuwa dean hapo kitivoni udsm.

Jamaa ana akili sema watz hawataki mabadiliko which is th big problem now. Kama mabadiliko yana facts za kisayansi lazma tuyakubali hayo mabadiliko.
Nakubaliana na wewe 100%. unajua tz kuna tatizo la watu kupinga kila jambo, wengine nadhani hata huwa wanajiandaa kupinga tu hata kabla mtu hajamaliza kuandika au kuongea. For what i beleave is that " RIGIDITY IS THE BARRIER FOR SUCCESS ' BUT' ACCEPTING A NEW IDEA ALWAYS YOU CAN CROSS SOO MANY ZEBRA AS YOU GO FAR. Pia kuna msemo Reginald Mengi anapenda kuutumia kuwa watu wengi hawapati mafanikio kwasababu ya KUOGOPA KUTHUBUTU. So tumuache Prof Mchome aendelee na idea yake na mbeleni ikionekana haina tija basi itawekwa pembeni , so far ameshirikisha wanazuoni wengi kiushauri and it is not a one man Job. Wenzetu wazungu huku wanazidi kupiga hatua sababu ya kuthubutu kutumia njia MPYA.
 
Mchome ameelekezwa tu. Lengo la waliomwelekeza ni kufunika kudorora kwa ufaulu. It is naive kujadili hili kwa dhana kwamba lengo lao ni kuboresha elimu. Wanajua fika kwamba mfumo wa elimu ambao umegubikwa na ukosefu mkubwa wa waalimu na vitabu haoboreshwi kwa kubadilisha definition ya kufaulu.

Itabidi tusubiri mpaka tubadilishe serikali halafu tuanze upya. Haya mengine ni kama kumpigia mbuzi gitaa.

Katika Tanzania mpya tunayoisubiri, mambo mazito kama haya yatafikishwa bungeni kama sehemu ya mswada wa elimu. Hayataamuliwa na watu wachache kama sasa.
 
Kwa hiyo nchi za wenzetu wana classification za kuongeza ukubwa wa goal post kama yetu?

Angalia za High Schools US

A----90-100%

B----80-89%

C----70-79%

D----60-69% (still a pass)

F----0-59% (failure)

US pia wana mfumo tofauti kwa honour students; siyo kama Tanzania inavyofanya. Hounour students

grading zao ni:

A----93-100%

B----85-92%

C----77-84%

D----70-76%

F----69% and below

Ukitafuta GPA kwa US

A----4

B----3

C----2

D----1

F----0

Ingawa shule nyingine uongeza .33 kwa grade iliyo ya juu na kutoa .33 kwa grade ya chini.

Cheki grading za Scotland kwa sekondari

A----70% and above (excellent)

B----60-69% (very good)

C----50-59% (improvement needed)

D---45-49% (close fail)

F----below 45% (fail/no award)

Cheki za England kwa A-level

A----80% and above

B----70-79%

C----60-69%

D----50-59%

F----below 49%

Hizi ni za bondeni

A----80% and above

B----70-79%

C----60-69%

D----50-59%

E----40-49%

F----35-39%

FF---- 30 - 34%

G----20 - 29%

H----10 - 19%

I----0 - 9%

Lakini kuanzia E hadi I ni mbwembwe tu kwani wameweka madaraja ya ufaulu kwa mitihani ya mwisho ni:

Normal pass----50-59%

Pass with merit----60-79%

Distinction----80% and above

Sasa fananisha na uharo ulioletwa na wizara iliyochini ya wasomi (Dr. Kawambwa, Prof. Mchome, Prof. Temu, Prof. Balalusesa, Prof. Mbenda)
.

African wake up! Kila jambo linaloanzishwa mna kazi yakutafuta reference kwa wenzenu na ndio maana hadi bungeni kila kitu unasikia Ooh wenzetu wa ulaya wanafanya hivi, mara wenzetu hawafanyi hivi.! sasa kwa tz imefikia hatua hadi kutoa reference hata kwa nchi za wa Africa wenzetu ambao baadhi ya idea zao hawakukopi/copy kwa mtu. Nina imani idea ya Prof: Mchome ingekuwa imeanzishwa na wazungu nakuleta manufaa basi ingechukuliwa kama reference kwetu. Tukubali new ideas ndio tutakwenda mbele, otherwise tukiendelea hivi hatutafika na tutaendelea kuwa wa mwisho siku zote. TEMBO WANAKWISHA TZ SABABU YA RIGIDITY OF STAKEHOLDERS,. LOOK" HON KAGASHEK HAS INTRODUSED AN IDEA LEAD AN OPERATION TOKOMEZA UJANGILI , BUT THE PARLIAMENT HAVE INTERVENED. So ukiangalia kwa undani zaidi utagundua kuwa ni regidity. My fellow tz let join hands with those who dare.
 
Back
Top Bottom